MKUYU AFRICA YAWATAKA MADALALI KUJITAMBUA, KUEPUKA KUCHUKULIWA KAMA ‘VISHOKA’
DAR ES SALAAMKAMPUNI ya Mkuyu Africa imewataka madalali wa nyumba na ardhi nchini kuzingatia maadili ya kazi, kujiendeleza kitaaluma na kujiunga na mifumo rasmi ya usajili ili kujenga uaminifu kwa...
View ArticlePROFESA KABUDI AONGOZA UJUMBE WA TANZANIA MKUTANO WA MAWAZIRI AFRIKA KUSINI
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu), Profesa Palamagamba Kabudi, ameongoza ujumbe wa Tanzania katika Mkutano wa Mawaziri wa Ushirikiano wa Nchi Tatu za...
View ArticleHAWA MCHAFU: MALIPO YA MADENI YAIMARISHA USTAWI WA WASTAAFU
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii, Mhe. Hawa Mchafu, akizungumza wakati kamati yake ilipokutana na Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi Ajira na Mahusiano na Mfuko wa PSSSF, jijini...
View ArticleSTAMICO YAPAA KWA MAPATO HADI KUFIKIA BILIONI 149.8
Mkurugenzi Mkuu wa STAMICO Dkt.Venance Mwase akizungumza na wahariri kuhusiana na mafanikio na Mikakati Jijini Dar es Salaam.Afisa Mawasiliano na Uhusiano kwa Umma katika Ofisi ya Msajili wa Hazina...
View ArticleTIBA ZA KISASA AFRIKA: MUHIMBILI YAWEKA HISTORIA
Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) leo Oktoba 15, 2026 imesaini makubaliano ya kuimarisha nafasi yake kama kituo cha mafunzo ya tiba ya Interventional Radiology barani Afrika, hatua inayolenga kuongeza...
View ArticleTRAMEPRO YATOA WITO KWA WATANZANIA KUENZI MISINGI YA BABA WA TAIFA
Shirika la Dawa Asilia na Ulinzi wa Mazingira Tanzania (TRAMEPRO) limetoa wito kwa Watanzania kuendelea kuenzi misingi ya umoja, amani, upendo, uadilifu na uzalendo iliyoachwa na Baba wa Taifa, Mwalimu...
View ArticleBuza Yashuhudia Upendo wa Kipekee Kutoka Meridianbet
KUNA nyakati ambazo msaada mdogo unaweza kuleta furaha kubwa, na kampeni ya Meridianbet katika kata ya Buza imekuwa mfano wa jambo hilo. Familia zenye uhitaji zilipata faraja baada ya kampuni hiyo...
View ArticleTANZANIA YAJIPAMBANUA KIMATAIFA KATIKA UIMARISHAJI MIFUMO YA USIMAMIZI WA MAAFA
TANZANIA imejipambanua Kimataifa katika kuimarisha mifumo ya usimamizi wa maafa kwa kuwekeza katika mifumo ya tahadhari za mapema, uratibu wa kitaasisi na mikakati ya kifedha inayolenga kupunguza...
View ArticleTanzania yang'ara Algeria
Tanzania yang'ara nchini Algeria kufuatia kupewa hadhi ya kuwa mgeni wa heshima katika maonesho ya kimataifa ya ujenzi, makaazi na miradi ya miundombinu yalijulikanayo kama Bati-Est Expo 2026, jijini...
View ArticleBenki ya Absa Yazindua Kampeni ya “Mkwanja Kilaini na Kadi ya Absa”...
Benki ya Absa Tanzania imezindua kampeni iliyopewa jina la “Mkwanja Kilaini na Kadi ya Absa”, ikiwa na na lengo la kuhamasisha matumizi ya huduma za kibenki kwa njia za kidigitali huku ikitenga jumla...
View ArticleMshindi wa Jackpot Aelezea Furaha Yake
KUTOKA Mtwara mpaka Dar es salaam, Bwana Ally Selemani Mohamedi ametinga kuchukua mshiko wake wa Jackpot wa Milioni 200 ambao ameupata kwa kubashiri na USSD au Kitochi kwa kupiga *149*10#Leo hii ya...
View ArticleHATUA BOND YAVUNJA REKODI, YAKUSANYA SHILINGI BILIONI 161.38
-Hatifungani ya I&M Bank yazidi lengo kwa asilimia 806. -wawekezaji wa ndani waongoza kwa ushirikiHatifungani ya Hatua Bond iliyotolewa na I&M Bank Limited imeweka rekodi mpya katika soko la...
View ArticleURASIMISHAJI VWA MATUMIZI YA MBEGU ZA TAASISI YA UTAFITI WA KILIMO TANZANIA...
Na Mwandishi WetuTaasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI) inapenda kuwataarifu wadau wotewanaojihusisha na uzalishaji, usambazaji na uuzaji wa mbegu zinazomilikiwa naTaasisi kuwa ni wajibu wao...
View ArticleMAKAMU WA RAIS ASHIRIKI IBADA YA KUMUOMBEA BABA WA TAIFA MWL. JULIUS...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi, leo Oktoba 14, 2026, ameshiriki Ibada ya Misa Takatifu ya Kumbukizi ya Miaka 27 ya kifo cha Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu...
View ArticleWAZIRI DEUS SANGU AFANYA ZIARA YA KIKAZI SUMBAWANGA
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira na Mahusiano, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Kwela, Mhe. Deus Sangu, tarehe 13 Oktoba, 2026, amefanya ziara ya kikazi katika Halmashauri ya Wilaya...
View ArticleNSSF NI FURSA YA VIJANA KUJIKWAMUA KIUCHUMI
-Ni wakati wa kufunga Kongamano la Wiki ya Vijana mkoani RukwaNa Mwandishi Wetu, SumbawangaVijana nchini wametakiwa kutumia fursa zinazotolewa na Serikali na taasisi mbalimbali, ikiwemo Mfuko wa Taifa...
View ArticleUCL Weka Pesa kwa Bodø/Glimt au Borussia Dortmund
MASHABIKI wa soka duniani wanatarajia kushuhudia burudani nyingine ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, wakati Bodø/Glimt ya Norway itakapokuwa mwenyeji wa Borussia Dortmund ya Ujerumani leo Jumatano, Oktoba...
View ArticleVaso Psycho Yatoa Vizidishi Vya Hadi Mara 10,000
MASHABIKI wa burudani ya kasino mtandaoni wana sababu mpya ya kuongeza msisimko katika safari yao ya michezo baada ya Vaso Psycho kutua rasmi Meridianbet. Mchezo huu unakuja na ladha tofauti,...
View ArticleIkimbilie Amusnet Cash Spin Race, Milioni 4 Zinasubiri Washindi
MASHABIKI wa michezo ya kasino mtandaoni wana sababu nyingine ya kuongeza msisimko kupitia Meridianbet, baada ya ujio wa shindano la Amusnet Cash Spin Race linaloanza Oktoba 10 hadi Oktoba 22, 2026....
View ArticleVigogo wa Ulaya Kukipiga Leo Kwenye UEFA
HATIMAYE baada ya muda mrefu, usiku wa Ulaya umerejea ambapo wababe kibao watashuka dimbani kupepetana kuwania pointi 3. Je nani unampa nafasi ya ushindi siku ya leo?Vijana wa Mikel Arteta...
View Article