DALADALA YAPARAMIA KIPITA SHOTO CHA YMCA, MOSHI
Gari aina ya Toyota Hiace linalofanya safari yake kati ya KCMC na katikati ya mji wa Moshi likiwa katika bustani ya mzunguko wa YMCA baada ya kupitiliza toka barabarani. Sehemu ya uharibifu uliofanyika...
View ArticleMkutano sekta ya mawasiliano 'Connect to Connect Summit' waendelea Dar
Wataalamu wa sekta ya mawsiliano wakiwa katika majadiliano katika mkutano wa masuala ya TEHAMA ‘Connect-to-Connect Summit’ unaofanyika jijini Dar es Salaam. Wataalamu wa sekta ya mawsiliano wakiwa...
View ArticleMICHUANO YA WAZI GOFU KUANZA OKTOBA 4,JIJINI DAR
Meneja Maendeleo ya Biashara wa Kampuni ya UAP Insurance, Raymond Komanga akifafanua jambo wakati wa akitangaza mashindano ya gofu yaliyoandaliwa na kampuni hiyo yatakayofanyika Oktoba 4 jijini...
View ArticleIntroducing Scratch N' Win Wristbands!
Now you can not only control your venue,profits or promote your brand but can also "give back" to your customers etc. Make them win anything as they attend your event etc. See the details below and...
View ArticleRAIS KIKWETE AFUNGUA MAONYESHO YA KIMATAIFA YA UTALII JIJINI DAR LEO
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akishirikiana na viongozi mbali mbali kukata utepe ikiwa ni ishara ya Ufunguzi wa Maonyesho ya Kimataifa ya Utalii "Swahili International Tourism Expo (SITE)" kwenye...
View ArticleKATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NDANI AZINDUA BARAZA DOGO LA WAFANYAKAZI JESHI...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak Abdulwakil (kushoto) akizungumza na wajumbe wa Baraza Dogo la Wafanyakazi la Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kabla ya kulizindua Baraza hilo katika...
View ArticleSSRA yakutana na Wahariri wa Vyombo vya Habari jijini Dar
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Irene Isaka (kulia) akizunguma wakati wa semina ya wahariri wa vyombo vya habari, iliyofanyika kwenye ukumbi wa...
View ArticleORIFLAME TANZANIA YATOA AJIRA KWA VIJANA 60,000 NCHINI - YATANGAZA BIDHAA...
Dotto MwaibaleKAMPUNI ya Oriflame Tanzania inayouza vipodozi asilia imetoa ajira kwa vijana 60,000 wa kitanzania kwa kusambaza na kuuza bidhaa zake.Hayo yalibainishwa na Meneja Mkazi wa Oriflame...
View ArticleTANZANIA MWENYEJI MKUTANO MKUU WA KWANZA WA UMOJA WA VYUO VYA USAFIRI WA ANGA...
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi , Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania, Mbwana . J. Mbwana (Kulia)akisalimiana na Rais wa Umoja wa Vyuo vya Usafiri wa Anga Barani Afrika(AATO) Tchagbele Sadamba wakati...
View ArticleFarmer Forums held in Bunda District
Dominicas Lusasi District Administrative Secretary - Bunda district talk to farmers of being motivated to have the best cotton crop at farmers forum held in Bunda district to give farmers an...
View ArticleBASATA YAMPONGEZA DIAMOND KWA KUSHINDA TUZO YA MSANII BORA WA MWEZI WA KITUO...
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kama msimamizi na mratibu wa sekta ya Sanaa nchini linapenda kutoa pongezi za dhati kwa Msanii wa muziki wa kizazi kipya Nassib Abdul maarufu kama Diamond kwa kushinda...
View ArticleSafari Lager kudhamini Mashindano ya Mchezo wa Pool Afrika 2014
Meneja wa Bia ya Safari Lager,Oscar Shelukindo (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa kutangaza udhamini wa Mashindano ya Mchezo wa Pool Afrika (2014 All Africa...
View ArticleRadio EFM kuwashukuru Mashabiki wake jijini Dar
Meneja Uhusiano wa Radio 93.7 EFM,Kanky Mwaigomole (katikati) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) jijini Dar es Salaam leo,wakati akizungumzia kuwepo kwa Tamasha la "Muziki Mnene"...
View ArticleWizara ya uchukuzi yasaini mkataba na kutekeleza amradi wa treni za kisasa
Waziri wa Uchukuzi, Dkt. Harrison Mwakyembe (kulia) , akisisitiza jambo wakati akiongea na Balozi wa Heshima wa Tanzania Nchini Marekani na na mmiliki wa Kampuni ya M/s Shumoja, Robert Shumake, ofisini...
View ArticleMISS UNIVERSE TANZANIA 2011 NELLY KAMWELU ENROLLS AT THE NEW YORK FILM ACADEMY
Miss Universe Tanzania 2011 Nelly Kamwelu is in New York and has started her studied in acting at the New York Film Academy . New York Film Academy-School of Film and Acting (NYFA) is a for-profit film...
View ArticleKILIMANJARO PREMIUM LAGER YAKUTANA NA WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI...
Meneja wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, George Kavishe akizungumza na baadhi ya wahariri wa vyombo habari jijini Dar es Salaam mchana wa leo,wakati wa semina ya kuzungumzia uzinduzi wa Kampeni ya...
View ArticlePIGA KURA UBORESHE MAISHA YA WATU WENYE ULEMAVU WA NGOZI
Shirika linalojibidisha na kutetea na kulinda watu wenye ulemavu wa ngozi nchini Under the Same Sun, (UTSS) limeteuliwa kushindania Tuzo ya Haki za Binadamu ijulikanayo kama "Tulip" itolewayo nchini...
View ArticleSEKTA ZA KILIMO,VIWANDA NA BIASHARA ZAKUZA PATO LA TAIFA KWA ASILIMIA 6.9
Mkurugenzi wa Takwimu za Uchumi wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Bw. Morrice Oyuke (katikati) akizungumza na waandishi wa habari kuhusu ukuaji wa Pato la Taifa kwa bei ya Soko leo jijini Dar es salaam....
View ArticleKILA MTU ATAKULA KWA UREFU WA KAMBA YAKE
Hapa ni mmoja wa Mafundi wenye utaalamu uliotukuka wa kupaka rangi majengo marefu jijini Dar,akilipiga sop sop moja jengo lililopo mtaa wa Indra ghand,katikati ya jiji.
View ArticleBALOZI LUMBANGA AFUNGUA RASMI MKUTANO WA MAAFISA MIPANGO
Katibu Mtendaji wa Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango, Dkt. Philip Mpango akisoma hotuba wakati wa mkutano wa mwaka wa wachumi na maafisa mipango unaofanyika jijini Dar es Salaam. Mgeni Rasmi wa mkutano...
View Article