Uhuru wa Teknolojia Wafanikishwa, Vita Dhidi ya Malaria na Kilimo Salama...
Tarehe 5 Mei 2025 Historia imeandikwa.NI rasmi kwamba Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni mmiliki wa teknolojia ya uzalishaji wa viuadudu (biolarvicides), viuatilifu hali (bio pesticides)...
View ArticleSERENGETI MWENYEJI MAADHIMISHO SIKU YA URITHI WA DUNIA: ELIMU YA UHIFADHI...
Na. Brigitha Kimario- SerengetiHIFADHI ya Taifa ya Serengeti ambayo ni miongoni mwa Hifadhi zenye hadhi ya urithi wa Dunia tangu mwaka 1981 inatarajia kuwa mwenyeji wa Maadhimisho ya Urithi wa Dunia...
View ArticleRWEBANGIRA ATEMBELEA VITUO VYA KUPIGIA KURA CHUNYA MKOANI MBEYA
Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe.Magdalena K.Rwebangira ametembelea na kukagua vituo vya kuandikishia wapiga Kura vilivyo katika Halmashauri ya wilaya ya Chunya mkoani Mbeya ikiwa ni siku...
View ArticleRAIS SAMIA ALIPA BIL 539 UKAMILISHAJI DARAJA LA JP MAGUFULI, MRADI WAKAMILIKA...
Wakati Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan akiingia madarakani mwaka 2021, ujenzi wa daraja la JP Magufuli (Kigongo - Busisi) mkoani Mwanza ulikuwa umefikia takribani asilimia 25 na kutokana...
View ArticleTANZANIA YAWAKILISHWA VEMA KWENYE KAMBI YA MAFUNZO YA HUAWEI SHENZHEN CHINA
Na Mwandishi WetuWANAFUNZI wenye vipaji katika sekta ya teknolojia ya habari na mawasiliano kutoka vyuo vikuu 12 duniani, wameshiriki katika kambi ya mafunzo ya kimataifa ya Huawei Global Seeds for...
View ArticleMeridianbet Yazindua “Gates of Olimpia” – Sloti Mpya ya Kipekee Kutoka...
MERIDIANBET inayo furaha kubwa kutangaza uzinduzi wa mchezo mpya wa slot unaochukua wachezaji katika safari ya kimungu isiyosahaulika. “Gates of Olimpia”, kazi mpya ya kipekee kutoka kwa Expanse...
View ArticleBODI YA MICHEZO YA KUBAHATISHA YAAGIZWA KUDHIBITI MICHEZO HARAMU
Na. Peter Haule, WF, DodomaNaibu Waziri wa Fedha, Mhe Hamad Hassan Chande (Mb), ameiagiza Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania (GBT), kuhakikisha sheria na taratibu za michezo hiyo zinafuatwa ili...
View ArticleHakiElimu- Upatikanaji wa Vitabu Shuleni Bado Changamoto
NA EMMANUEL MBATILO, TAASISI ya HakiElimu imeishauri Serikali kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kuhakikisha angalau asilimia 15 ya bajeti ya taifa ya 2025/26 inatengwa kwajili ya sekta ya...
View ArticleTANROADS IMEKAMILISHA UJENZI WA KM 109.49 ZA LAMI NCHINI, UJENZI WA KM 275.51...
Serikali imekamilisha Ujenzi kilomita 109.49 za barabara nchini kwa kiwango cha lami huku ikiendelea na ujenzi wa Kilomita 275.51, hali kadhalika ujenzi wa madaraja matano (5) unaendelea na ujenzi wa...
View ArticleMkurugenzi Mkuu TCAA afungua Rasmi Kozi ya Pili ya Cheti kwa Wakufunzi wa...
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), Salim Msangi amefungua rasmi kozi ya pili ya cheti kwa Wakufunzi wa Usalama wa Anga (AVSEC Instructors Certification Phase Two Course)...
View ArticleMATHIAS CANAL ASHINDA TUZO YA SAMIA KALAMU AWARDS, WAZIRI ULEGA AMPA SHAVU...
Mwanzilishi na Afisa Mtendaji Mkuu wa WazoHuru Media Group Limited Ndg Mathias Canal ameshinda Tuzo mbili za SAMIA KALAMU AWARDS sekta ya Ujenzi na chombo bora cha mtandaoni.Pamoja na zawadi ya Cheti,...
View ArticleMERIDIANBET YAZINDUA “GATES OF OLYMPIA” – SLOTI YA KIFALME YENYE NGUVU ZA...
Dar es Salaam – Meridianbet kwa mara nyingine tena inavunja mipaka ya burudani ya kasino kwa kutambulisha rasmi “GATES OF OLYMPIA”, mchezo mpya wa sloti uliotambulishwa jana, ukiwa na mandhari ya...
View ArticleUhuru wa Habari Zanzibar, Ahadi mdomoni Utekelezaji Mashakani
Na: Nihifadhi Abdulla.ZANZIBAR ni sehemu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambayo imeridhia mikataba mbalimbali ya kimataifa na kikanda inayolinda haki ya uhuru wa habari. Hata hivyo, hali halisi...
View ArticleMeridianbet Yamtangaza Bingwa wa Wikendi
NDUGU mteja wa Meridianbet wikendi hii Meridianbet ilimpata mshindi wa wikendi iliyopita ambaye ameweza kushtua wengi kwa kupiga mshindo mkubwa wa maana kabisa kwenye mechi zake 13.Mshindi huyu...
View ArticleAirtel yatangaza kushirikiana na SpaceX kuleta mtandao wa Starlink barani Afrika
Dubai, Mei 5, 2025 - Airtel Africa imetangaza kuingia makubaliano na kampuni ya SpaceX kuleta huduma ya intaneti yenye kasi ya juu ya Starlink kwa wateja wake barani Afrika. Hivi sasa, SpaceX imepata...
View ArticleRais Dkt. Samia Ametunukiwa Medali ya Mother of the Nation Order kutoka kwa...
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametunukiwa Medali ya Mother of the Nation Order kutoka kwa Rais wa Umoja wa Falme za Kiarabu Mtukufu Sheikh Mohamed bin Zayed Al...
View ArticleWILAYA YA NYASA KUPOKEA MWENGE WA UHURU MEI 12
Mkuu wa Wilaya ya Nyasa Mkoani Ruvuma Peres Magiri,akizungumza na Watumishi wa Idara mbalimbali za Serikali kwenye ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya Nyasa juu ya maandalizi ya mbio za Mwenge wa Uhuru...
View ArticleBenki ya CRDB Yawahakikishia Wawekezaji Ukuaji Endelevu wa Uwekezaji wao
Dar es Salaam, Mei 6, 2025 – Kama sehemu ya maadhimisho ya miaka 30 ya tokea kuanzishwa kwake, Benki ya CRDB imeandaa Kongamano la Wawekezaji jijini Dar es Salaam katika hoteli ya Johari Rotana,...
View ArticleWananchi Wamewatakiwa Kuacha Shughuli Zinazochangia Uharibifu wa Mazingira
NAIBU Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis amewataka wananchi kuacha shughuli zinazochangia uharibifu wa mazingira zikiwemo kukata miti ovyo.Ametoa wito huo...
View Article