Quantcast
Channel: MTAA KWA MTAA BLOG
Browsing all 40006 articles
Browse latest View live
↧

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TTCL na Huawei waingia mkataba wa kuboresha mawasiliano nchini

Afisa Mtendaji Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL),Kamugisha Kazaura (kulia) na Mkurugenzi Mtendaji wa MS Huawei Technologies,Bruce Zhang wakisaini mikataba ya makubaliano ya kupanua na kuboresha mtandao...

View Article


Mh. Easter Bulaya ndani ya kipindi cha the avenue mawazo huru

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UJUMBE KUTOKA CHUO CHA TAIFA CHA ULINZI (NDC) WATEMBELEA MAKAO MAKUU YA JESHI...

Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi Tanzania, Meja Jenerali GS Milanzi(kushoto) akisalimiana na baadhi ya Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Magereza walipofanya ziara ya mafunzo Makao Makuu ya Jeshi la...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UN Tanzania Waadhimisha Siku ya Kimataifa ya Maadhimisho ya Wahanga wa...

Balozi wa Ujerumani Nchini Tanzania Mh Egon Kochanke akitoa historia fupi ya wahanga wa maangamizi Makuu ya Moto Dhidi ya Wayahudi katika maadhimisho yaliyofanyika katika Ukumbi wa Utamaduni wa Russia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DK. NEEMA NALITOLELA AMEREMETA NA KUWAKAWAKA KATIKA SEND OFF YAKE

Hayawi hayawi yamekuwa , Dk. Neema Nalitolela (kushoto)akiwa katika picha ya pamoja na mpambe wake Winne Temu (kulia) wakifurahia jambo wakati wa sherehe ya kumuaga (Send off) iliyofanyika hivi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

GODFREY L. MNGEREZA ATEULIWA KUWA KATIBU MTENDAJI WA BASATA

Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) linapenda kuwatangazia Wasanii na wadau wote wa Sanaa nchini kwamba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete kwa kifungu namba 5...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BALOZI WA JAMHURI YA KOREA AMTEMBELEA WAZIRI WA UJENZI OFISINI KWAKE JIJINI DAR

Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kulia akizungumza na Balozi wa Jamhuri ya Korea, Chung Il kuhusiana na mambo mbalimbali kuhusu sekta ya Ujenzi pamoja na mchakato wa Ujenzi wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Maafisa Mawasiliano watembelea Mradi wa Kuchakata Gesi wa Tanzania Mnazi Bay...

Mkurugenzi wa Idara ya Habari –MAELEZO Assah Mwambene (kulia) akikabidhi kwa niaba ya Maafisia Mawasiliano Serikalini msaada wa Kitanda cha wagonjwa kwa Mganga Mkuu wa Hospitali ya Ligula Mkoani Mtwara...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NENO LA MTAANI LEO.

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MDAU KITAA AKILA MUZIKI HUKU AKIWA AMEBEBA MBOGA ZA MAJANI.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DOGO WA MASHINENI AKIWA FOFOFO KWA KUUCHAPA USINGIZI OFISINI KWAKE.

 Dogo mwenye utaalamu malidhawa wa kusaga na kukoboa mtaa wa jirani pale, akiwa amenaswa na kamera yetu ya mtaa kwa mtaa blog akiwa amepitiwa na usingizi wa nguvu kutokana na uchovu wa pilika pilika za...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWELEKA WA GARI LA NDIZI WILAYANI RUNGWE MKOANI MBEYA BARABARA ITOKAYO SUMA...

 Gari hili lililo kuwa limebeba ndizi lime piga mweleka baada ya deleva wa gari hilo kushindwa utaalamu kidogo wa kufeliwa breki na kupelekea mpaka kuliswaga moja kwa moja pembezoni mwa barabara...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHINA KUJENGA CHUO CHA KISASA CHA UFUNDI (VETA) MKOANI KAGERA

Balozi wa China nchini Tanzania,LU Youqing yupo mkoani Kagera  kwa ziara ya siku mbili kukagua eneo  lililotengwa na serikali ya mkoa kwa ajili ya kujenga chuo cha Ufundi (VETA) cha Kitaifa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HUU NI UTAALAM WA KIPEKEE KATIKA USHUSHAJI WA BENDERA YA TAIFA

 Jamaa kaipandia huko huko juu ili ashuke nayo.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WASANII WATAKIWA KUTOA ELIMU YA UPIGAJI KURA

Na Mwandishi WetuWasanii nchini wametakiwa kushiriki kikamilifu katika kutoa elimu ya uraia kwa wananchi ili watambue umuhimu wa kupiga kura na kuwaweka madarakani viongozi wanaowataka.Wito huo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZANIA LAUNCHES TOURISM PROMOTION ROADSHOWS IN THREE CITIES OF US WEST COAST

Tanzania has launched a massive tourism campaign through roadshows in the three cities of America’s West Coast. Permanent Secretary in the Ministry of Natural Resources and Tourism Dr. Adelhelm Meru...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MGOMO WA WAFANYABIASHARA IRINGA BAADHI WAGOMA KUSHIRIKIA

Wananchi mbalimbali  wa mji  wa Iringa  wakiwa katika  soko  kuu mjini humo kupata  huduma  zao wakati sehemu mbali mbali huduma  zikiwa  zimesitishwa  kufuatia mgomo  wa wafanyabiashara  nchini,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MTI WA MWEMBE KATIKATI YA BARABARA

Huu mti umepandwa katikati ya Barabara ya Mtaa wa Chato unaokuja kukutana na Bagamoro rodi,Mikocheni A jijini Dar es salaam usoni kabisa mwa hospitali ya AAR .Mti huu umepandwa ili kuziba pengo kubwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE AHAMASISHA MCHANGO WA DOLA BILIONI 7.5 KWA AJILI YA CHANJO YA...

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akishiriki katika hatua mbalimbali za mkutano wa kimataifa wa kujadili na kuchangia upya juhudi za kimataifa za taasisi ya Global Alliance for Vaccines and Immunisation...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DC Temeke aipongeza shule ya Twayyaibat kwa ada nafuu

Na Mwandishi Wetu, Dar es SalaamMKUU wa wilaya Temeke, DC Sophia Mjema, ameipongeza shule ya Sekondari ya Kiislamu inayojulikana kama Twayyaibat Islamic Seminary Secondary School kwa kufanya ada nafuu...

View Article
Browsing all 40006 articles
Browse latest View live
<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>