Quantcast
Channel: MTAA KWA MTAA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 39531

MFUMO WA UCHAMBUZI WA UHAKIKA WA CHAKULA NA LISHE WABORESHWA.

$
0
0
Baadhi ya washiriki kutoka Wizara, Taasisi na Idara za Serikali wakifuatilia uwasilishaji wa mada za umuhimu wa Mfumo wa Uchambuzi wa Uhakika wa Chakula na Lishe (MUCHALI) wakati akifungua semina ya uboreshaji mfumo huo mjini Morogoro
  Mkurugenzi Idara ya Uratibu Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu, Brg. Jen, Mbazi Msuya akisisitiza umuhimu wa Mfumo wa Uchambuzi wa Uhakika wa Chakula na Lishe (MUCHALI) wakati akifungua semina ya uboreshaji mfumo huo mjini Morogoro.
  Baadhi ya washiriki kutoka Wizara, Taasisi na Idara za Serikali wakifuatilia uwasilishaji wa mada za umuhimu wa Mfumo wa Uchambuzi wa Uhakika wa Chakula na Lishe (MUCHALI) wakati akifungua semina ya uboreshaji mfumo huo mjini Morogoro.
Mkurugenzi Idara ya Uratibu Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu, Brg. Jen, Mbazi Msuya (mwenye suti) akiwa katika picha ya pamoja na  washiriki kutoka Wizara, Taasisi na Idara za Serikali mara baada ya  kufungua semina ya uboreshaji wa Mfumo wa Uchambuzi wa Uhakika wa Chakula na Lishe (MUCHALI) mjini Morogoro, tareehe 1 Juni, 2016.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 39531

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>