Quantcast
Channel: MTAA KWA MTAA BLOG
Browsing all 39472 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATOTO 26 WA PAROKIA YA BIKIRA MARIA MAMA WA HURUMA MBEZI BEACH JIMBO KUU LA...

ASKOFU wa  Mkuu wa Jimbo katoliki la Arusha, Mhashamu Askofu, Josephat Louis Lebulu  ametoa Sakramenti ya Kipaimara kwa watoto 26 wa Parokia ya Bikira Maria mama wa Huruma- Mbezibichi  jimbo kuu la Dar...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WABUNGE WAJADILI MAREKEBISHO YA SHERIA MPYA YA UNUNUZI WA UMMA, DODOMA

Baadhi ya maofisa waandamizi wa Wizara ya Fedha na Mipango, wakiongozwa na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Servacius Likwelile (aliyekaa kiti cha mbele), wakifuatilia mada iliyowasilishwa kwa wabunge...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DODOMA yapelekwa VSOMO VETA na Airtel.

Wanafunzi wa Chuo cha Veta Dodoma wakimsikiliza Meneja huduma za Airtel Tanzania,Hawa Bayuni(hayupo pichani) wakati wa uzinduzi wa mpango wa Vsomo ambapo wanafunzi wa Veta watapata fersa ya kusoma kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Taasisi ya Uongozi na Chuo cha Utawala China zatia saini hati ya makubaliano.

  Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Uongozi Profesa Joseph Semboja (aliyeketi kulia) na Makamu wa Rais wa Chuo cha Utawala China Bw. Chen Li (aliyeketi kushoto) wakisaini hati za makubaliano ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAMLAKA YA USAFIRI WA ANGA TANZANIA (TCAA) NA MAMLAKA YA USAFIRI WA ANGA...

Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), na Mamlaka ya Usafiri wa Anga ya China (CAAC), zimeanzisha rasmi ushirikiano katika maeneo ya utalaam, ufundi na mafunzo katika nyanja ya Usafiri wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TFF YAWAONYA STAND UNITED KUHUSU FIFA.

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limesema kuwa kitendo cha Klabu ya Stand United kwenda kuwashtaki katika Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa) kutokana na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YAASWA KUPIGA VITA DHIDI YA UKATILI NA UNYANYAPAA DHIDI YA WATU...

Mwakilishi wa Umoja wa Mataifa juu ya haki za watu wenye ualbino, Ikpowose Ero, akizungumza na waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam jana juu ya maazimio yaliyofikiwa katika mkutano wa watu wenye...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RC, MAKONDA APOKEA HUNDI YA SH.MILIONI 10 KWA AJILI YA MADAWATI KWA KAMPUNI...

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, akipokea Hundi ya mfano ya shilingi milioni kumi kutoka kwa mkurugenzi wa mawasiliano wa kampuni UR Group, Salim Omar, zilizotolewa na kampuni yake k ajili...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CRDB YATOA MSAADA WA MADAWATI 50 SHULE YA MSINGI MAKOLE DODOMA

Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, kazi,Vijana na Ajira, Antony Mavunde (kushoto), akipokea msaada wa madawati 50 yenye thamani ya zaidi ya sh milioni 6 kutoka kwa Mkurungenzi wa Benki ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MFUMO WA UCHAMBUZI WA UHAKIKA WA CHAKULA NA LISHE WABORESHWA.

Baadhi ya washiriki kutoka Wizara, Taasisi na Idara za Serikali wakifuatilia uwasilishaji wa mada za umuhimu wa Mfumo wa Uchambuzi wa Uhakika wa Chakula na Lishe (MUCHALI) wakati akifungua semina ya...

View Article

MTO KAROTI WA IGAWILO JIJINI MBEYA NDANI YA MTAA KWA MTAA YA MICHUZI TV....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NENO LA LEO MTANI...

#Kamerayamtaakwamtaablog.

View Article

MTO KAROTI WA IGAWILO JIJINI MBEYA NDANI YA MTAA KWA MTAA YA MICHUZI TV.

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DK.SHEIN AKUTANA NA BALOZI WA AFRIKA KUSINI NCHINI TANZANIA.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein akifuatana na Balozi wa Afrika ya  Kusini katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ,Thamsanga Dennis Msekelu baada ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BENKI YA NBC YANDAA FUTARI KWA WATEJA WAKE WA DAR NA MTWARA

 Baadhi ya wateja wa Benki ya NBC na wafanyakazi wa benki hiyo, wakishiriki mlo wa futari iliyoandaliwa na NBC jijini Dar es Salaam. Ofisa Mwendeshaji Mkuu wa Benki ya NBC Tanzania, James Kinyanyi (wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Huduma ya Chakula kwa Wagonjwa katika hospitali ya Muhimbili yaboreshwa.

 Mkurugenzi wa Uuguzi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Agness Mtawa akifafanua jambo LEO katika mkutano na waandishi wa habari kuhusu hospitali hiyo kuanza kuboresha huduma ya chakula kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BEI YA MADAFU LEO.

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

PSPF WAKUTANA NA WANACHAMA WAKE WA MKOA WA MANYARA KUJADILI MASUALA...

Afisa Mfadhiwi wa PSPF mkoa wa Manyara Bw. Said Ismail, akitoa hotuba wakati wa kikao cha pamoja kati ya PSPF na wanachama wake wa mkoani Manyara kilichofanyika mjini Babati. PSPF inautaratibu wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HADHARANI WAAMUZI WA YANGA VS TP MAZEMBE.

Na Zainab Nyamka,Globu ya Jamii.SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limetoa ratiba ya waamuzi watakaocheza mechi ya Yanga dhidi ya TP Mazembe, mechi itakayopigwa Juni 28 katika dimba la uwanja wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waethiopia kuchezesha mechi ya Serengeti Boys na Sherisheri.

Katikati ni Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya vijana chini ya miaka 17 (U-17), Serengeti boys, Bakari Shime kulia ni Mkufunzi wa soka la Vijana hapa nchini, Kim Poulsen na Kushoto ni Kiongozi wa TFF...

View Article
Browsing all 39472 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>