Mmoja wa wageni kutoka nchini Uturuki akiulizia bei ya vifaa vya mapambo ya bahari kwa mchuuzi wa samaki feri.
Kundi la Wafanyabishara na wanahabri wakiwasili katika soko la Samaki Feri.
wauza Samaki wakiwa katika mnda wa Samki katika eno la mauzo sokoni hapo.
Boti ya uvuvi ikiwasili katika soko la Samaki Feri kwa ajili ya kupakua Samaki.
Mchuuzi wa Samaki wa soko la Samaki fery akipara samaki aina ya Songoro kwa ajili ya kupeleka mtaani kuuzwa.
Wafanyabiashara wa Samaki wa soko la Samaki Feri wakipara Samaki.
Mmoja ya Mwandishi wa habari kutoka nchini uturuki akiuliza maswali kwa muuzaji wa Samaki wa soko la Samaki feri jijini Dar es Salaam