BALOZI SEIF AZINDUA UVUNAJI WA MPUNGA WA UMWAGILIAJI MAJI KWA KUTUMIA...
Balozi Seif na Mkewe Mama Asha Suleiman kati kati wakijumuika pamoja na Mawaziri, Viongozi wa Serikali, Wakulima na Wananchi katika uzinduzi wa Uvunaji wa Mpunga wa Umwagiliaji Maji kwa kutumia...
View ArticleZIARA YA WAZIRI MKUU YAAHIRISHWA NJOMBE, KUENDELEA JUMATANO HII
Waziri mkuu Majaliwa akizungumza na wakazi wa njombe Maeneo ya Hospitali ya Mkoa wa njombe Mtaa wa Wikichi Njombe Mjini.Baadhi ya wakazi wa Njombe Mjini wamiwa wanamsikiliza waziri Mkuu Kassm Majaliwa...
View ArticleKILANGO: RAIS MAGUFULI AMETAMBUA UWEZO WANGU
Mbunge Mteule wa Rais, Anne Kilango Malecela amesema uteuzi wake umetokana na uwezo alionao na si vinginevyo.Akizungumza na Gazeti la Mtanzania kwa njia ya simu Jumapili hii, Kilango alisema...
View ArticleWAFANYABIASHARA WA UTURUKI WAZURU SOKO LA SAMAKI FERI, JIJINI DAR
Baadhi ya wageni kutoka nchini Uturuki wakila Samaki aina ya Pweza katika Soko la Samaki feri walipozuru katika soko hilo kabla ya kwenda kwenye hafla iliyofanyika katika ikulu ya Magogoni.Baadhi ya...
View ArticleAZAM VS COSMOPOLITAN LEO, BOCCO KUIPA HESHIMA TIMU YAKE YA ZAMANI
Na Zainab Nyamka, Globu ya JamiiKLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, leo saa 10.00 jioni itakuwa kibaruani kupambana na Cosmopolitan katika mchezo wa raundi ya tano ya michuano ya Kombe...
View ArticleKiungo wa Hull City Ryan Mason anaendelea vizuri baada ya upasuaji
Kiungo wa Hull City Ryan Mason amefanyiwa upasuaji baada ya kuumia fuvu la kichwa kwenye mchezo dhidi ya chelsea hapo jana.Mason aligongana na Gary Cahill wakati wakiwania mpira mnamo dakika ya 13 na...
View ArticleDK.SHEIN AWAAPISHA VIONGOZI MBALI MBALI IKULU.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Dk.Sira Ubwa Mamboya kuwa Mjumbe wa Baraza la Mapinduzi (BLM) na Waziri asiyekuwa na Wizara Maalum,katika hafla...
View ArticleRC MAKALLA ATEMBEA VITUO VIWILI VYA REDIO JIJINI MBEYA LEO, AZUNGUMZA NA...
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Amos Makalla leo Januari 23, 2017 amefanya ziara ya kutembelea vituo viwili vya Redio vilivyopo mkoani humo, na kufanya mazungumzo ya moja kwa moja na wananchi wa Mkoa...
View ArticleWAZIRI KAIRUKI AZINDUA AWAMU YA KWANZA YA OFISI YAKE KUHAMIA DODOMA.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki akizungumza na waandishi wa habari juu ya safari ya kuhamia Dodoma iliyoanza rasmi leo kwa...
View ArticleWANANCHI WATAHADHARISHWA NA UTAPELI KUPITIA SIMU ZA MKONONI.
Kaimu Meneja Mawasiliano wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Bw. Semu Mwakyanjala akizungumza na waandishi wa Habari kuhusu ulaghai kupitia simu za mkononi unaofanywa na matapeli katika kipindi...
View ArticleNAIBU WAZIRI MASAUNI AKAGUA VIPENYO VYA MPAKA WA KASUMULU UNAOTENGANISHA NCHI...
Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akipokea salamu za heshima baada ya kuwasili kituo cha Uhamiaji Kasumulu, kinachosimamia masuala ya uingiaji na utokaji nchini...
View ArticleRAIS DKT MAGUFULI AFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS WA UTURUKI, WATUBIA MKUTANO WA...
Rais wa Jamhuri ya Uturuki Mhe Recep Tayyip Erdogan na mkewe wakipokea mashada ya maua kutoka kwa watoto walipowasili Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 23, 2017 kwa mapokezi rasmi na mazungumzo...
View ArticleMAMA JANETH MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MKE WA RAIS WA UTURUKI
Mke wa Rais wa Uturuki Mama Emine Erdogan akimueleza jambo Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Janeth Magufuli Ikulu Leo Jijini Dar es Salaam. Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
View ArticleRais Donald Trump awafuta kazi mabalozi wote wanaiwakilisha Marekani duniani
Rais wa Marekani Donald Trump amewafuta kazi mabalozi wote wa nchi hiyo kote duniani na wanaohudumu katika mashirika ya kimataifa.Kwa mujibu wa taarifa ya mtandao wa Independent, mabalozi hao...
View ArticleMECHI YA YANGA NA SIMBA YAPIGWA KALENDA HADI FEBRUARI 25
Na Zainab Nyamka, Globu ya JamiiMchezo wa mzunguko wa pili wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara baina ya mahasimu, Simba na Yanga umesogezwa mbele hadi Februari 25, kutoka na Yanga kuwa na mashindano...
View ArticleHAJI MANARA AWASHUKIA BODI YA LIGI NA TFF UPANGUAJI WA RATIBA YA LIGI
RATIBA TU NI MUHALI,,HAYO MENGINE KWETU SI BAHARI?? Haji S Manara. Kuna kurogwa na kujiroga,Kuna kufa na kujiua pia kulia na kuliliwa, Sisi watanzania hakika tupo ktk fungu la...
View ArticleWALIOFANIKIWA KUINGIA HATUA YA 16 AZAM SPORTS FEDERATION CUP
Timu zilizopita hatua ya 16 bora1.Yanga2.Kiluvya United3.Prisons4.Mbao FC5.Toto African6.Simba7.Azam8.Stand UnitedMechi zilizobaki; 24.01.2016 64 1.NDANDA V MLALE JKT UWANJA NANGWANDA 24.01.2016 65...
View ArticleAZAM YATINGA HATUA YA 16 BORA, YAIUA COSMO POLITANI 3-1
Na Zainab Nyamka, Globu ya JamiiTimu ya Azam imefanikiwa kuingia kwenye hatua ya 16 bora baada ya kuibuka na ushindi wa goli 3-1 dhidi ya CosmoPolitan inayoshiriki ligi daraja la pili.Azam wamewaondoa...
View Articlevijana 33 wa Airtel Rising Stars wachanguliwa kujiunga na timu za Taifa
Baada ya kumalizika kwa kliniki ya wiki moja ya Airtel Rising Stars mwishoni mwa wiki jana, wavulana 16 wamechanguliwa kujiunga na timu ya taifa ya Serengeti Boys huku wasichana watatu wakichanguliwa...
View ArticleMOUNT MERU RICKERNEST MUSIC BAND YAJA KWA KASI JIJINI ARUSHA
Bendi mpya ya mziki wa dansi ijulikanayo kwa jina la Mount Meru Ricknest imezinduliwa rasmi mkoani Arusha huku ikiwaahidi wapenzi wa muziki wa dansi burudani isiyokuwa na mpinzani. Akizungumza katika...
View Article