Quantcast
Channel: MTAA KWA MTAA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 39360

UZINDUZI WA FILAMU YA 'MATESO YANGU UGHAIBUNI' WAFANA JIJINI DAR

$
0
0

Mkurugenzi wa Didas Entertainment, almaarufu kwa jina la Didas Facion akiongea wakati wa uzinduzi wa Filamu ya Mateso Yangu Ughaibuni iliyofanyika jana Septemba 4, 2014 katika viwanja vya Leadrs Club. Pembeni yake ni  Msanii Wastara Juma na  Rais Wa Bongo Movie Steve Nyerere.

Mkuu wa wilaya ya Temeke Bi. Sophia Mjema akiongea machache wakati wa uzinduzi wa Filamu ya Mateso Yangu Ughaibuni iliyofanyika jana Septemba 4, 2014 katika viwanja vya Leadrs Club.

Rais Wa Bongo Movie Steve Nyerere akitema cheche.

Wazazi wa mwanadada Didas...

Bendi ya YAMOTO akimwaga burudani.
Wageni waalikwa.
Msanii H. Baba akiwanga burudani.
Mke wa H.Baba, Flora Mvungi akitoa burudani sambamba na wacheza shoo wake.
Baba na Mama wakitoa burudani.
Wasanii waliohudhuria uzinduzi huo.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 39360

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>