Quantcast
Channel: MTAA KWA MTAA BLOG
Browsing all 39356 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE AONGOZA UFUNGAJI WA ZOEZI LA MEDANI LA MAADHIMISHO YA MIAKA 50

Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiangalia madhara ya mapigo ya silaha mbalimbali wakati wa ufungaji wa zoezi la medani la maadhimisho ya miaka 50 ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ)...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

YA LEO LEOOO

View Article


NYIMBO MPYA YA UWEZO

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATU ZAIDI YA 35 WAFARIKI DUNIA KATIKA AJALI YA MABASI ILIYOTOKEA MCHANA HUU...

 Basi la Kampuni ya J4 EXPRESS lenye nambari za usajili T 677 CYC lililokuwa likitoka Musoma kuelekea Silari Mkoani Mara likiwa limeumia vibaya sana baada ya kugongana uso kwa uso na Basi lingine la...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Dkt. Magufuli afunga mkutano wa Wahandisi jijini dar

Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wahandisi mbalimbali hawapo pichani kuhusu umuhimu wa Taaluma ya Uhandisi na Maendeleo nchini kabla ya kufunga mkutano huo wa mwaka...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Walawala CUP kuwasha moto Muheza

Mratibu wa mashindano ya OG Walawala Cup,Omari George (kulia) akipokea jezi zitakazotumika katika mashindano hayo kutoka Meneja Masoko wa Kampuni ya Isere Sports, Abas Ali Isere katika hafla fupi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2014 IWAWA SEKONDARI, MKUU WA WILAYA YA MAKETE...

Na Edwin Moshi, MaketeWalimu na wanafunzi wa shule ya sekondari Iwawa iliyopo Makete mkoani Njombe wametakiwa kutoridhika na kubweteka na shule hiyo kushika nafasi ya nne kitaifa katika matokeo ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

malori yalipoamua kupigana pasi kimara jijini dar

Malori mawili yenye nambari za usajili T326 BGT na lingine lenye namba T 625 BYD yakiwa yamefunga njia baada ya kupigana pasi eneo la Kimara jijini Dar hivi karibuni.Hivi ndivyo yanavyoonekana malori...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UZINDUZI WA FILAMU YA 'MATESO YANGU UGHAIBUNI' WAFANA JIJINI DAR

Mkurugenzi wa Didas Entertainment, almaarufu kwa jina la Didas Facion akiongea wakati wa uzinduzi wa Filamu ya Mateso Yangu Ughaibuni iliyofanyika jana Septemba 4, 2014 katika viwanja vya Leadrs Club....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NENO LA LEO MTAANI

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SALAAMA ZA RAMBIRAMBI TOKA JUMUIYA YA WATANZANIA ITALI KUFUATIA AJALI YA MUSOMA

TUNAUNGANA NA WATANZANIA WOTE KATIKA KUOMBOLEZA MSIBA MKUBWA WA TAIFA"September 5 2014 kwenye eneo la Sabasaba Mjini Musoma ilitokea ajali mbaya sana ya mabasi mawili yakiwa na abiria na kulihusisha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TIMU YA MAJAJI KWA AJILI YA KUMTAFUTA MSHINDI WA TUZO YA RAIS YA HUDUMA ZA...

Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Chifu Kishosha Mabiti (wa tatu kutoka kulia) akimwonesha Mwenyekiti wa Jopo la Majaji kwa ajili ya kumtafuta mshindi wa Tuzo ya Rais ya Huduma za Jamii na Uwezeshaji Prof. Samwel...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Benki Kuu ya Tanzania yatoa toleo jipya la sarafu ya shilingi 500

Na Frank Mvungi MAELEZOBenki Kuu ya Tanzania imetoa toleo jipya la sarafu ya shilingi 500 itakayoanza kutumika Oktoba 2014 itakayokuwa mbadala wa Noti ya shilingi 500 inayoonekana kuchakaa haraka.Hayo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA KWA UMMA: TOLEO LA SARAFU YA SHILINGI MIA TANO

Benki Kuu ya Tanzania ndiyo chombo chenye jukumu la kutoa sarafu na noti halali (legal tender) zinazotumika nchini. Katika kutekeleza jukumu hili Benki Kuu hutengeneza noti na sarafu zenye uwiano mzuri...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ORIJINO KOMEDI KUJA KIVINGINE,KAA MKAO WA KULA

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BENKI YA CRDB KUJENGA TAWI LA KISASA KATIKA KIWANDA CHA DANGOTE- MTWARA

  Ndege ya Mwenyekiti na Mtendaji Mkuu wa Dangote Group of  Industries, Alhaji Aliko Dangote ikiwasili katika uwanja wa Mtwara.Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dk. Charles Kimei (wa pili kushoto),...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UTT MAADHIMISHO YA WIKI YA HUDUMA ZA KIFEDHA NA UWEKEZAJI 2014 PAMOJA NA...

Baadhi ya wakazi wa jijini Dar es Salaam na vitongoji vyake wakiwa katika banda la Dhamana ya Uwekezaji Tanzania (UTT) Maadhimisho ya Wiki ya Huduma za Kifedha na Uwekezaji 2014, yaliyofunguliwa katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HAKITUPWI KITU HAPA.....

 Katika pita pita za kila siku ili kuhakikisha libeneke la Mtaa kwa Mtaa halilali,Kamera ya Mtaa kwa Mtaa Blog ilibahatika kuzinasa Taswira hizi za Kijana huyu aliekuwa njiani kuelekea kwenye biashara...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NHIF YATETA NA WASANII BASATA

Meneja wa Mfuko wa Bima ya Afya ya Taifa NHIF tawi la Ilala Bw.Christopher Mapunda akizungumza na washiriki wa semina katika ya shirika hilo na Wasanii mbalimbali iliyofanyika kwenye ukumbi wa Baraa za...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWANAHARAKATI KHADIJA LIGANGA ATOA SEMINA YA UNYANYASAJI WA KIJINSIA NA...

Mwanaharakati toka Shirika la Kutetea Haki za Wanawake la KIVULINI la jijini Mwanza, Bi. Khadija Liganga ametoa mafunzo ya siku moja kuhusu Unyanyasaji wa kijinsia na ukatili Dhidi ya watoto kwa vijana...

View Article
Browsing all 39356 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>