$ 0 0 Kamera ya Mtaa kwa Mtaa Blog,imeinasa taswira hii ya bi dada huyu akionyesha utaalam wake wa kupika chapati kwa namna yake katika eneo la Mwenge jijini Dar.