Quantcast
Channel: MTAA KWA MTAA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 40096

KICHUPA KIPYA CHA YAMOTO BENDI MTAANI

$
0
0
 Taswira mbalimbali za Utengenezwaji wa Video Mpya ya Yamoto Band "Nitakupwelepweta" sehemu mbalimbali jijini Dar es salaam. Vijana hawa ambao wako juu hivi sasa katika tasnia ya muziki nchini Tanzania na nchi jirani, sio tu wanafanya vyema katika kutawala anga bali pia wameleta aina mpya ya staili ya muziki ambao uko mbali na Bongo Fleva na umepokelewa kwa shangwe na wapenzi wa muziki. Wanaongozwa na Mkubwa Fela
 Mambo ya location
 Vijana wakiwajibika
 Adam Juma aki-shoot scene ya mgahawani
Ngoma inaanza hapo hapo mgahawani

Viewing all articles
Browse latest Browse all 40096

Latest Images

Trending Articles