Quantcast
Channel: MTAA KWA MTAA BLOG
Browsing all 40034 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR AHUDHURIA SHEREHE ZA MIAKA 50 YA CBE LEO

Mkuu wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) Prof. Emanuel Mjema (wa pili kutoka kulia) akimtambulisha viongozi wa chuo cha CBE ,Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ally Idd (katikati) leo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHERHE ZA KILELE CHA MIAKA 50 YA CBE ZAFANA SANA

Mkuu wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) Prof. Emanuel Mjema (wa pili kutoka kulia) akimtambulisha viongozi wa chuo cha CBE ,Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ally Idd (katikati) leo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KWELI HUU NI WASAHA WA DIGITALI.

 Matembezi madogo ya kamera mani wetu wa mtaa kwa mtaa blog mtaa wa maendeleo jijini mbeya na kujinyakulia taswira hii ya meza ya vinywaji ikiwa na mwamvuli wake wa dishi la dekoda lilo pambwa katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NI BUKU KUMI YAKO TUU KUPATA MALIWATO HAPA..

                           kama huna buku kumi usisogee hapo ohoooo..

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KARIBUNI KILINGENI KWETU.

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

PILIKA PILIKA MTAANI JIJINI MBEYA ASUBUHI HII

 Sijui ni kodi au chumba kidogo au ni biri tuu za umeme na maji mpaka wadau hawa kufungasha mizigo asubuhi na mapema kuamisha sehemu nyingine.               mzee wa chipsi mayai nae mapemaa na jiko...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NHIF yakutana na Wajasiriamali Ilala

Mkugenzi wa Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF), Rehan Athumani (katikati) akifungua semina ya siku tatu Januari 21, 2015 jijini Dar es Salaam ya viongozi wa SACCOS za wajasiriamali zilipo Mansipaa ya Ilala...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wananchi wa maeneo ya miradi ya maji watakiwa kutozembea kujadili maendeleo...

Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mwantumu Mahiza akiwakaribisha wajumbe wa kamati ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji waliotembelea mkoa huo kukagua baadhi ya miradi ya Maji iliyopo mkoani humo.Kiongozi wa ziara...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAREKANI NA UJERUMANI WAIPA TANZANIA VIFAA VYA KISASA KUKABILIANA NA UJANGILI...

Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu akizungumza maneno ya Utangulizi kabla ya kukabidhiwa vifaa vya kukabiliana na ujangili kutoka na serikali za Marekani na Ujerumani katika hafla hiyo....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAIBU WAZIRI WA UJENZI AKAGUA KIVUKO CHA MV UTETE WILAYANI RUFIJI MKOANI PWANI

Naibu Waziri wa Ujenzi Eng. Gerson Lwenge(wa kwanza) akishuka ngazi mara baada ya kukagua kivuko cha MV-Utete ambacho hakitoi huduma ya usafirishaji kutokana na kupungua kwa kina cha maji cha mto...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MADIWANI MANISPAA YA MOSHI WAKINUKISHA WAKATI WA KIKAO CHA BAJETI

Mstahiki Meya  Jafary Michael pamoja na Madiwani wengine wakijaribu kuzungumza na diwani wa kata ya Kilimanjaro Piscus Tarimo aliyebaki ukumbini wakati wenzake wakitoka .MGOGORO mkubwa umetokea katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBUNGE VITI MAALUM MKOA WA MBEYA DKT. MARY MWANJELWA KWA KUSHILIKIANA NA...

Mbunge wa viti maalum mkoa wa Mbeya, Dkt. Mary Mwanjelwa(CCM), amekabidhi madawati 84 katika shule za Msingi Itiji na Ivumwe zilizopo katika Halmashauri ya Jiji la Mbeya.Akikabidhi madawati hayo yenye...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mh. Lowassa aomboleza kifo cha muasisi wa TANU Monduli

Waziri mkuu wa zamani na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa na mkewe Mama Regina Lowassa wakitoa mkono wa pole kwa waombolezaji katika Msiba wa aliekuwa muasisi na kiongozi wa kwanza wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

FURAHA YA UTIAJI SAINI MAKUBALIANO YA KUUNGANISHA CHAMA CHA SPLM CHA SUDANI...

Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Naibu Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa (kulia) na Bw. Deng Alor Kuol wakifurahia wakati Rais Salva Kiir Mayardiy wa Sudan ya Kusini (wa pili kushoto) na Makamu wa Rais...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ujenzi Chuo cha Tiba Mloganzila kugharimu zaidi ya Dola za Kimarekani Milioni 61

Na Anitha Jonas – MAELEZO.SERIKALI imesema kuwa mradi wa ujenzi wa  Chuo cha Tiba  cha Kimataifa cha Muhimbili  eneo la Mloganzila nje kidogo ya jiji la Dar es salaam utagharimu kiasi cha Dola za...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Polisi Zanzibar wawatia mbaroni watuhumiwa wawili wa ujambazi mchana wa leo

Watuhumiwa wawili katika tukio la Ujambazi lililotokea Mchana wa leo eneo la Darajani Jua Kali,Zanzibar wametiwa mbaroni baada ya kuzidiwa nguvu na wananchi wenye hasira wakati walipokuwa wakiwakimbia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Timu ya Arsenal yafanya mazungumzo na Kampuni ya TTCL

 Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara wa Timu maarufu ya mpira wa miguu duniani ya Arsenal, Dam Stone (kulia) akipokea zawadi kutoka Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) iliyokabidhiwa na Meneja wa Masoko na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KICHUPA KIPYA CHA YAMOTO BENDI MTAANI

 Taswira mbalimbali za Utengenezwaji wa Video Mpya ya Yamoto Band "Nitakupwelepweta" sehemu mbalimbali jijini Dar es salaam. Vijana hawa ambao wako juu hivi sasa katika tasnia ya muziki nchini Tanzania...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIOTA CHA SAMAKI SAMAKI NA USIKU WA WAREMBO

Siku ya warembo ni usiku unaowakutanisha pamoja warembo wote wa mjini ambao hufanyika kila Alhamis ndani ya Kiota cha maraha cha Samaki Samaki City centre Jijini Dar.Usiki huo hunogeshwa zaidi na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Alhaj Mwinyi na Mh. Lowassa wahudhulia katika sherehe wa shule ya sekondari...

Mbunge wa Monduli na waziri mkuu wa zamani Mh Edward Lowassa na mkewe Mama Regina Lowassa wakimkaribisha Rais mstaafu wa awamu ya pili Alhaji Ali Hassan Mwinyi na mkewe Mama Sitti Mwinyi  katika...

View Article
Browsing all 40034 articles
Browse latest View live
<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>