$ 0 0 Taswira hii ya mvua ikiwa inanyesha upande kwa wakati mmoja huku upande mwingine ukiwa mkavu kabisa kama panavyo onekana pichani,ukiwa upande huu wa juu ni raha mustalehe ila uki shuka upande wa chini ni mwendo wa kulowa tuu.