KAMERA YA MTAA KWA MTAA NA TASWIRA MBALI MBALI KUTOKA MAHAKAMA YA...
Kamera ya Mtaa kwa Mtaa Blog,leo hii ilipata wasaa wa kukatiza kwenye Soko la Ndizi Mabibo (maarufu kama Mahakama ya ndizi) jijini Dar es salaam na kufanikiwa kunasa taswira mbalimbali katika soko hilo...
View ArticleTAYARI KISHALIA HAPA
libeneke hili sikuzote na kama kawaida huwa haliwi mbali na mitaa, katika katiza katiza mtaani leo ikakumbuna na tukio la mweleka wa bodaboda katika eneo la mwanjelwa mtaa wa kongo jijini mbeya,...
View ArticleWATALOWA WAO TU SISI AKAA.
Taswira hii ya mvua ikiwa inanyesha upande kwa wakati mmoja huku upande mwingine ukiwa mkavu kabisa kama panavyo onekana pichani,ukiwa upande huu wa juu ni raha mustalehe ila uki shuka upande wa chini...
View ArticleMADOGO NA MTINI
Kamera ya mtaa kwa mtaa blog imewanasa madogo katika michezo yao juu ya mti, huwenda kwao nifurahaa kutokana na utashi na upeo wao wa akili wao kama watoto, kwa upande mwingine kwa wazazi huwa tofauti...
View ArticleRAIS KIKWETE ATANGAZA MABADILIKO MADOGO YA BARAZA LA MAWAZIRI JIONI HII
Katibu Mkuu Kiongozi,Balozi Ombeni Sefue akizungumza na vyombo vya habari jioni hii wakati akitangaza mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri,Ikulu Jijini Dar es Salaam.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
View ArticleBREAKING NYUZZZ......... WAZIRI MUHONGO AJIUZULU WADHIFA WAKE MCHANA HUU
Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo akizungumza na waandishi wa katika mkutano uliofanyika mchana huu kwenye ukumbi wa mikutano wa ofisi za Wizara hiyo,zilizopo kwenye Mtaa wa...
View ArticleMAMBO YA SHULE ZA NANII HAYA.
Kamera ya mtaa kwa mtaa blog katika udadafuaji wa mitaa leo imekumbana na taswira za wanafunzi wa shule ya msingi nanii pale wakiwa katika somo mradi. huu ni uwanja wa michezo na hapa wakiwa...
View ArticleSHERIA NGOWI AMNG'ARISHA RAIS MPYA WA ZAMBIA
Mbunifu wa mavazi wa kimataifa, Sheria Ngowi ameendelea kuipeperusha bendera ya Tanzania kupitia kipaji chake cha ubunifu wa mavazi baada ya kumvalisha Rais mpya wa Zambia, Edgar Lungu katika sherehe...
View ArticleALIYEVUNJIKA TAYA APATA MSAADA WA KIFEDHA AOMBA NDUGU ZAKE WAJITOKEZE
Gabriel Ng'osha akimkabidhi Bi. Masumbuko ambaye ni msimamizi wa wodi ya Sewa Haji namba 23 kwenye Hospitali ya Taifa ya Muhimbili pesa taslimu masaada wa laki moja na elfu kumi na nane (118,000) leo...
View Articlehivi mambo haya ni mpaka lini??
Imekuwa ni kama desturi ya kawaida katika maeneo mengi hapa mjini kujiamulia kuhifadhi taka sehemu yeyote ile wanayojisikia.hili si jukumu la Manispaa peke yakebali ni letu sote jamaniii.mtu...
View ArticleDkt. Fennela Afungua Kikao Kazi cha Maafisa Mawasiliano Serikalini na...
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara akiwaeleza washiriki wa Mkutano huo umuhimu wa kuelimisha umma kuelekea upigaji kura ya maoni na kuwataka wahariri wa vyombo vya...
View ArticleBENKI YA NMB YADHAMINI MKUTANO MKUU WA MAKAMANDA WA POLISI KWA MILIONI 75
Benki ya NMB leo imekabidhi hundi ya shilingi Milioni 75 kama udhamini wa mkutano wa mwaka wa maafisa wa Polisi nchini unaendelea mjini Dodoma katika ukumbi wa Kimataifa wa St Gasper.Mkutano huo ambao...
View ArticleGEPF KWA KUSHIRIKANA NA JESHI LA MAGEREZA KUWEKEZA KWA PAMOJA KATIKA UJENZI...
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa GEPF, Daud Msangi (alieketi kulia) pamoja na Meneja wa Mradi kutoka PSM Archtect Co Ltd,Peter Matinde (alieketi kushoto) wakitiliana saini mkataba wa makubaliano...
View ArticleWAZIRI WA NISHATI NA MADINI NA NAIBU WAKE WAANZA KAZI RASMI KWA KUTEMBELEA...
Mtaalamu kutoka kampuni ya Jacobsen Elektro iliyopewa kazi ya kujenga kituo cha kuzalisha umeme cha Kinyerezi I Clas-Eirik Strand (kushoto) akibadilishana mawazo na Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya...
View Article