Kamera ya mtaa kwa mtaa ilipo kuwa iki katiza katiza baadhi ya mitaa kama kawaida yake ikakutana na baadhi ya mapozi tofauti tofauti katika kiwanja cha mpila shule ya msingi mwenge jijini mbeya kama waonekanavyo wadau hao pichani wakibadilishana mawili matat juu ya mtanange wanao usubiri jikoni hapo...na mtaa kwa mtaa blog.hapa mmoja akiwa anachati na simu (shoto) huku mwengine akifaidi utamu wa tairi alipo jiegesha mwenyewe.
dogo akijaribu kuvuta hisia juu ya jambo furani....
madogo hawa nao wakiwa kwenye mapozi yao kama waonekanavyo katika taswira.