TTCL Yakabidhi Mradi wa Huduma za Mawasiliano TBL
 Ofisa Mkuu wa Masoko na Mauzo wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Peter Ngota kulia akizungumza wakati wa makabidhiano ya mradi wa kuyaunga kimawasiliano ya kisasa matawi ya kampuni ya bia Tanzania...
View ArticleRAHA YA BUSTANI UJUE KUMWAGILIA
 Katika pita pita zake Kamera ya Mtaa kwa Mtaa, mapema leo imeinasa taswira hii ya Mdau akiwajibika katika kilimo cha umwagiliaji kwenye moja ya Bustani zilizopo eneo la Mchicha, Tabata jijini Dar....
View ArticleMH. LOWASSA AZIDI KUVUNJA REKODI YA WADHAMINI, APATA 9516 MKOANI TABORA LEO
Waziri Mkuu wa Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli, Mh. Edward Lowassa akiwapungia mkono maelfu ya wana CCM waliofika kumdhamini pamoja na wananchi wengine, kwenye viwanja vya ofisi za CCM Tabora...
View ArticleMAMBO YA SHUTINGIII HAYAA.......
Kamera ya mtaa kwa mtaa iliwanasa baadhi ya wasanii katika tasnia ya maigizo wakiwa katika lokesheni waliyoichagua kwa ajili ya kuandaa mkanda wao wa video eneo la Iganzo, Jijini Mbeya kama...
View ArticleUNFPA-TANZANIA KWA KUSHIRIKIANA NA TUME YA MIPANGO YAENDESHA WARSHA MKOA WA MARA
Shirika la Umoja wa Mataifa la Idadi ya Watu (UNFPA) Tanzania kwa kushirikiana na Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango, wameandaa warsha kwa ajili ya kuhamasisha na kuwajengea uwezo watumishi wa Mkoa na...
View ArticleBATA BINTI MAPOZI NAE ANATANGAZA NIA JUMA PILI HII TUMUUNGE MKONO.....
Bata binti mapozi nae eti anatangaza nia ya kugombea, kutokana na bata wengi kudharauliwa kupewa sifa mbaya za uchafu na wengi katika jamii kuliwa kwa nadra kutokana na uadimu wao na pia  vijana wengi...
View ArticleMH. LOWASSA ATUA KIGOMA LEO, AKOMBA WADHAMINI 11,250
Waziri Mkuu Mstaafu, Mh. Edward Lowassa akiusalimia umati wa wanaCCM pamoja na wananchi wa Mji wa Kigoma, wakati alipowasili kwenye ofisi za CCM Mkoa wa Kigoma, kusaka wadhamini wa kumsainia fomu za...
View ArticleWananchi watakiwa kuuchukia uhalifu kwa vitendo
Na Frank Geofray-Jeshi la PolisiWananchi wametakiwa kuuchukia uhalifu kwa vitendo pamoja na kuwa na kauli moja katika kupambana nao kwa kushirikiana na jeshi la polisi kwa kutoa taarifa za uhalifu na...
View ArticleTUME YA HAKI ZA BINADAMU, UNESCO WATAKA JAMII KUTAMBUA WATU WENYE ALBINISM
Kamishna wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Dkt. Kevin Lothal Mandopi akielezea namna ya tume hiyo ilivyo mstari wa mbele kuelimisha Umma dhidi ya vitendo na ukatili kwa watu wenye Ualbinism...
View ArticleMAPOZI YA TUKIO HAYA...
Kamera ya mtaa kwa mtaa ilipo kuwa iki katiza katiza baadhi ya mitaa kama kawaida yake ikakutana na baadhi ya mapozi tofauti tofauti katika kiwanja cha mpila shule ya msingi mwenge jijini mbeya kama...
View ArticleDKT. BILAL AZINDUA MRADI WA UJENZI WA NYUMBA ZA MJI WA AVIC, 'AVIC TOWN'...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati wa hafla ya uzinduzi wa ujenzi wa Mradi wa Ujenzi wa Mki wa Avic, 'Avic Town', uliofanyika leo Juni 13,...
View ArticleRAIS KIKWETE AWASILI AFRIKA KUSINI KUHUDHURIA MKUTANO WA 25 WA UMOJA WA AFRIKA
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa ameongozana na mkewe mama Salma Kikwete wakilakiwa mara walipowasili katika hoteli ya Sun Internatioal Maslow Hotel, Sandton, Johannesburg, Afrika ya Kusini kwa Mkutano...
View Article