UJENZI WA BARABARA ULIOKWAMA KICHANGACHUI ,MAFIA SASA WAKAMILIKA
Na Mwamvua Mwinyi,Mafia January 17 UJENZI wa kipande cha barabara ya ‘Kichangachui – Hatchery’ kinachojengwa kwa kiwango cha lami Mjini Mafia ambao ulikuwa umekwama kwa takriban mwaka mmoja, upo...
View ArticleMRADI WA UMEME WA JULIUS NYERERE WAFIKIA ASILIMIA 80.2
Naibu Waziri wa Nishati, Wakili Stephen Byabato, amesema kuwa utekelezaji wa mradi wa umeme wa Julius Nyerere (JNHPP) utakaozalisha umeme wa kiasi cha megawati 2,115 umefikia asilimia 80.2.Naibu...
View ArticleUSHINDI MKUBWA NA MERIDIANBET JIPATIE ODDS BOMBA MECHI ZOTE
Ukiachana na burudani za soka ulaya, utamu mwingine utakuwa kwenye Milan Derby kati ya AC Milan dhidi ya Inter Milan ni mashindano ya Supercoppa Italiana. Lakini pia kuna mechi za Copa del Rey, Coppa...
View ArticleKINANA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA ALGERIA NCHINI TANZANIA,LEO...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana, Akizungumza na, Balozi wa Algeria nchini Tanzania Ahmed Djellal alipofika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya...
View ArticleZungu agawa Mitungi ya gesi 150 kwa Baba na Mama lishe Kisutu
Na Humphrey shao Michuzi Tv Mbunge wa Ilala, Naibu Spika, Mussa Zungu, amekabidhi msaada wa mitungi 150 kwa mama na baba lishe wa Soko la Kisutu Stendi ya Zamani.Hatua hiyo ni kuunga mkono maagizo...
View ArticleMUFINDI WATOA MKOPO KWA VIKUNDI 26 WENYE THAMANI YA SH.305,000,000
Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Mufindi Festo Mgina akiongea na vikundi vilivyopata mkopo wa Halmashauri ya wilaya ya Mufindi kuutumia vizuri mkopo huu kwa malengo yaliyokusudiwa.Mwenyekiti wa...
View ArticleSERIKALI YATOA BILIONI 60 KUANZA UJENZI BARABARA YA LAMI LIKUYUFUSI-MKENDA
SERIKALI ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt Samia Suluhu Hassan imetoa shilingi bilioni 60 kuanza ujenzi barabara ya lami kilometa 60 kutoka Likuyufusi Kwenda Mkenda Wilaya ya Songea mkoani...
View ArticleMaeneo ya Urithi wa Ukombozi Kukarabatiwa Kuvutia Utalii
Na Shamimu NyakiNaibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Pauline Gekul amezindua Mpango wa kuweka Alama za Utambuzi katika Maeneo ya Urithi wa Ukombozi wa Bara la Afrika hapa nchini, na...
View ArticleSPIKA WA BUNGE: TKO TAYARI KUBADILI SHERIA ZENYE CHANGAMOTO KIJINSIA
Na Magreth Kinabo –Mahakama Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson amesema kwamba Bunge liko tayari kubadili sheria zinazoleta changamoto katika mashauri yanayohusu...
View ArticleVIONGOZI WA VYAMA VYA SIASA VILIVYO KUWA MSTARI WA MBELE KUPIGANIA UHURU WA...
Leo tarehe 18 Januari 2023 Viongozi wa vyama vilivyokuwa mstari wa mbele kupigania uhuru wa kusini mwa Afrika vikiongozwa na CCM wawasili zanzibar na kupokelewa na Viongozi wa CCM wakiongozwa na Ndg....
View ArticleMFUMUKO WA BEI ZA BIDHAA NCHINI NI STAHIMILIVU
takwimu Mkuu wa Serikali Dkt. Albina Chuwa akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo Januari 18, 2023 wakati akifungua kikao kazi cha waandishi wa habari.Baadhi ya waataalamu kutoka...
View ArticleEXPANSE STUDIO, MERIDIANBET KUFANYA UZINDUZI KENYA
Wiki chache tu baada ya kuzindua michezo yao ya hivi karibuni- Wild White Whale na Zombie Apocalypsehatimaye sasa Expanse Studio inakuja Tanzania, kuonyesha bidhaa yake mpya ya hivi karibuni katika...
View ArticleMIUNDOMBINU YA UMEME NCHINI IMEIMARIKA
Na.Timotheo Mathayo –Dodoma Waziri wa Nishati, Mhe.January Makamba amesema kuwa hali ya miundombinu ya kusafirisha na kusambaza umeme nchini imeendelea kuimarika na kuwezesha upatikanaji wa umeme wa...
View ArticleTanzania na Kenya zajadili ushirikiano Sekta ya Umeme na Gesi
Na Teresia MhagamaWaziri wa Nishati, Mhe.January Makamba pamoja na Balozi wa Kenya nchini Tanzania, Mhe.Isaac Njenga wamekutana na kufanya mazungumzo kuhusu ushirikiano wa Tanzania na Kenya katika...
View ArticleMhe. Gekul Asisitiza Utunzaji Maeneo ya Historia ya Ukombozi Bara la Afrika
Na Shamimu Nyaki Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Pauline Gekul Januari 18, 2023 ameagiza wananchi na Taasisi zinazozunguka maeneo ya Urithi wa Ukombozi wa Bara la Afrika kuyatunza na...
View ArticleWAZIRI MBARAWA KUSHUHUDIA WADAU WA SEKTA YA USAFIRISHAJI WAKIKAA MEZA MOJA...
Na Mwandishi WetuWANACHAMA zaidi ya 250 wa Chama Cha Wamiliki wa Malori Tanzania (TATOA) wanatarajia kushiriki kwenye mkutano Mkuu wa Chama hicho utakaofanyika hapo kesho Jumamosi jijini Dar es Salaam,...
View ArticleJUKWAA LA BIASHARA TANZANIA INDIA
Jukwaa la Biashara la Tanzania na India (TIBF) kuimarisha mahusiano ya kibiashara Jukwaa la Biashara la Tanzania na India (TBIF) limedhamiria kukuza mahusiano ya kibishara baina ya nchi hizo mbili kwa...
View ArticleUzalishaji Umeme na Gesi waongezeka
Imeelezwa kuwa uwezo wa mitambo ya kuzalisha umeme iliyoungwa katika mfumo wa Gridi ya Taifa umeongezeka na kufikia megawati 1,777.05 mwezi Desemba 2022 sawa na ongezeko la asilimia 4.87,...
View ArticleWIKIENDI YENYE ODDS BOMBA MERIDIANBET
Kila mtu huwa na sehemu anayoipenda Zaidi ambayo inampatia furaha kila siku, Chimbo lako ni moja tu kama ukitaka kubeti wikiendi hii jiunge na familia ya Meridianbet ushindi ni uhakika, kila mechi...
View Article