Article 0
Mshindi wa shindano la NMB MastaBata KoteKote linaloendeshwa na Benki ya NMB Emmanuel Marumbo kutoka Mkoani Tabora amekabidhiwa rasmi Pikipiki yake leo aina ya Boxer.Mshindi huyo wa jumla...
View ArticleKWA TZS 500 MERIDIANBET UNASHINDA BODA MPYAA
Mwezi huu wa Januari ukiachana na tabu ndogo ndogo za kimaisha pale Meridianbet wakali wa odds bomba na kubwa, unaambiwa ni shangwe juu ya shangwe, Ile promosheni ya kijanja mjini sasa imerudi tena...
View ArticleKUNA ONGEZEKO LA ZAIDI YA TANI 70,000 ZA SUKARI NCHINI - DKT.ASHIL
katibu Mkuu Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na biashara Dkt. Hashil Abdalah akizungumza katika kikao na wadau wa uzalishaji wa sukari chini kilicholenga kufahamu hali ya uzalishaji wa sukari nchini...
View ArticleDIWANI KIMAYA AWATAKA WAZAZI,WALEZI KUWAPELEKA WATOTO WAO KITUO CHA SAYANSI...
Na Oscar Assenga.TangaDIWANI wa Kata ya Chumbageni (CCM) Ernest Kimaya amewataka Wazazi na Walezi Jijini Tanga kukitumia kituo hicho cha Sayansi STEM PARK kwa kuwapeleka watoto wao ili waweze...
View ArticleSONGWE WAZINDUA WIKI YA SHERIA KWA MAANDAMANO
Mkuu wa Wilaya ya Songwe,Mhe. Simon Simalenga amewaongoza Wananchi wa Wilaya ya Songwe kufanya maandamano ikiwa ni sememu ya uzinduzi wa Maadhimisho ya Wiki ya Sheria wilayani humo leo Januari 22,2023...
View ArticleWAKAZI WA MIKOA YA PWANI NA DAR ES SALAAM MILIONI 11 WANAHITAJI MAJI KILA...
Na Chalila Kibuda, Michuzi TV Bodi ya Bonde la Wami/Ruvu imesema kuwa Wakazi wa Mkoa wa Pwani na Dar es Salaam Milioni 11 wanahitaji maji kila siku hivyo kila mmoja ana nafasi ya kulinda vyanzo vya...
View ArticleZAIDI YA HATI MILKI ZA ARDHI MILIONI MOJA KUTOLEWA KUPITIA MRADI WA LTIP
Na Munir Shemweta, WANMM Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi kupitia Mradi wa Uboreshaji Usalama wa Milki za Ardhi (LTIP) inatarajia kutoa Hati Milki za Ardhi milioni moja katika maeneo ya...
View ArticleWADAU WA SHERIA MKOANI RUVUMA,WATAKIWA KUMALIZA MIGOGORO KWA NJIA YA USULUHISHI
Na Muhidin Amri, SongeaJAJI Mfawidhi wa Mahakama Kuu kanda ya Songea Dkt Yose Mlyambina,amewataka mahakimu,majaji na wadau wengine wa sheria kutumia weledi katika kumaliza migogoro kwa njia ya...
View ArticleMAKAMU WA RAIS AZINDUA WIKI YA SHERIA DODOMA JAN 22
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.Philip Mpango ametoa wito kwa Mahakama na mfumo wa utoaji haki kwaujumla kuongeza juhudi katika kutatua changamoto mbalimbali ikiwemo...
View ArticleMATUKIO YA MAUAJI WILAYA YA MANYONI WANANCHI WAMLILIA RC SERUKAMBA AWASAIDIE
Mkuu wa Mkoa wa Singida, Peter Serukamba akizungumza na wananchi wa Wilaya ya Manyoni na Itigi katika kikao cha kusikiliza kero kilichofanyika juzi wilayani humo.Na Dotto Mwaibale, SingidaUTARATIBU wa...
View ArticleMBUNGE KUTUMIA 480 MILIONI KUJENGA OFISI ZA CCM
NA VICTOR MAKINDA: IGUNGAMbunge wa jimbo la Igunga mkoani Tabora, Nicholas Ngassa, anatarajia kutumia kiasi cha Shilingi 480 Milioni, kwa ajili ujenzi wa ofisi za kata za Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
View ArticleCCM WAISAMBARATISHA CHADEMA KATA YA MAPANDA Inbox
Mwenyekiti wa chama cha mapinduzi CCM wilaya ya Mufindi George Kavenuke akionyesha kadi ya CHADEMA aliyokabidhiwa na ayekuwa mwenyekiti wa CHADEMA kata ya Mapanda Isaya KitinusaMwenyekiti wa chama cha...
View ArticleNMB YATOA MSAADA WA VIFAA TIBA VYA SH. MIL 26 WILAYA YA ARUSHA
Sekta ya afya ni sekta muhimu kwa maendeleo ya jamii zetu na kwa kulitambua hilio, Benki ya NMB imeshirikiana na Serikali kupitia Wizara ya Afya kusaidia kuboresha huduma za Afya kwa Wilaya ya Arusha...
View ArticleUWEKEZAJI WA SERIKALI KWENYE TEHAMA KUFANIKISHA TIBA MTANDAO
Na Immaculate Makilika – WHMTHSerikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan imeendelea kuwekeza katika Teknolojia Habari na Mawasiliano (TEHAMA) nchini kwa lengo la...
View ArticleTAWIRI YATAKIWA KUSHIRIKIANA NA TAASISI ZA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII...
Taasisi ya Utafiti ya Wanyamapori Tanzania (TAWIRI), imetakiwa kushirikiana na Taasisi mbalimbali zilizo chini ya Wizara ya Maliasili na Utalii katika utekelezaji wa majukumu yake ili kufikia malengo...
View ArticleJAJI MGEYEKWA AWAITA WANANCHI KUJIFUNZA USULUHISHI MIGOGORO YA ARDHI
Katika kuadhimisha wiki ya sheria, Mahakama Kuu Divisheni ya Ardhi imeandaa siku moja ya kutoa elimu na kukutana na wadaawa katika viwanja vya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam siku ya...
View ArticleRITA YATUMIA WIKI YA SHERIA KUENDELEA KUTOA ELIMU KWA UMMA, BODI ZA WADHAMINI
Na Mwandishi Wetu, Michuzi TVKATIKA Wiki ya Sheria inayoendelea katika Jiji la Dodoma na Dar es Salaam Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) inaendelea kutoa elimu kwa Bodi za Wadhamini...
View ArticleUTAFITI STADI ZA MAISHA NA MAADILI KWA VIJANA KUZINDULIWA JANUARI 26, DAR
Mwalimu na Mdau wa Elimu, Richard Mabala (katikati) akizungumza na wanahabari (hawapo pichani) kuzungumzia uzinduzi wa tathmini ya utafiti wa ALiVE unaotarajiwa kufanyika Januari 26, 2023 jijini Dar es...
View ArticleWAZIRI GWAJIMA ATEMBELEA MAKAO MAKUU BENKI YA NMB JIJINI DAR,AZUNGUMZA NA...
Benki ya NMB imepata nafasi ya kutembelewa na Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na wenye Mahitaji Maalum - Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima katika ofisi zao za Makao Makuu jijini Dar es...
View ArticleSHINDA MARA 25000 YA DAU LAKO NA CRAZY TIME
UKICHEZA GURUDUMU LA BAHATI MERIDIANBET KASINO!Sloti ya Crazy TimeHayawi hayawi sasa yamekuwa. Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet kwa kushirikiana na watengenezaji mahiri wa michezo ya kasino za...
View Article