MERIDIANBET ODDS BOMBA WIKIENDI HII?
Suala la kutoa ODDS kubwa sio kitu cha mawazo pale Meridianbet, kuthibitisha hilo tengeneza mkeka wako wa mechi zote kali za wikiendi hii ujizolee ODDS kibao za ushindi, ni EPL, Serie A, La Liga,...
View ArticleMRADI WA BOMBA LA MAFUTA UNAENDELEA KUTEKELEZWA-BYABATO
Naibu Waziri wa Nishati, Wakili Stephen Byabato amesema kuwa, utekelezaji wa mradi Bomba la Mafuta Ghafi kutoka Uganda hadi Tanzania (EACOP) unaendelea kutekelezwa na kwamba shughuli mbalimbali...
View ArticleJISHINDIE MKWANJA NA SLOTI YA PIRATES POWER YA MERIDIANBET
Hii hapa nyingine kutoka kwa wakali wa michezo ya kasino mtandaoni Meridianbet, ni Pirates Power sloti bomba na nzuri isiyochosha kucheza na ten ani rahisi kushinda mkwanja, kwani sloti hii ya Pirates...
View ArticleKampuni ya Tanzania Distilleries Limited yazindua Konyagi aina ya Konyagi Fusion
Na Mwandishi Wetu.KAMPUNI ya Tanzania Distilleries Limited, ambao ni waanzilishi wa kinywaji cha Konyagi, leo inazindua aina mbili mpya za Konyagi ikiwa ni mwendelezo wa chapa hiyo zinazoitwa Konyagi...
View ArticleTASAF IFUNDISHE STADI ZA KUKUZA KIPATO - RC SENDIGA
Na. OMM Rukwa Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Queen Sendiga ameagiza wataalam wanaosimamia Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) katika ngazi ya halmashauri kuwafundisha wanufaika stadi za kazi zitakazosaidia...
View ArticleDCB YAPONGEZWA KWA MCHANGO WAKE KUINUA SEKTA YA FEDHA NCHINI
Benki ya Biashara ya DCB imepongezwa kwa mchango wake unaoendelea kuchangia maendeleo ya sekta ya fedha nchini.Hayo yamebainika katika hafla iliyoandaliwa na Umoja wa Mabenki Tanzania (TBA) katika...
View ArticleKAMATI YA UENDESHAJI MAFUNZO YA EPIDEMIOLOJIA NA USIMAMIZI WA MAABARA...
Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Tumaini Nagu, leo ameongoza kikao cha Kamati ya Uundeshaji Mafunzo ya Epidemiolojia na Usimamizi wa Maabara (TFELTP), kilichofanyika Dodoma na kuhudhuriwa na Mkurugenzi...
View ArticleViongozi na Wananchi wa Wilaya ya Longido wapongeza ujenzi wa chuo cha VETA
Mwalimu wa Chuo cha VETA Arusha George Mosha akizungumza kuhusiana na ushiriki wa wananchi wa Wilaya ya Longido walivyoshiriki ujenzi wa Chuo cha VETA Longido. Mkuu wa Chuo cha VETA Arusha...
View ArticlePSG Vs Bayern Munich, Dortmund Vs Chelsea, Club Brugge Vs Benfica
UEFA Champions League (UCL) inaendelea tena leo na kesho, ni muda muafaka wa kuzijua ni timu gani zitasonga mbele hatua ya 8 bora au robo fainali, Meridianbet kama kawaida wamejipanga kwa kutoa Odds...
View ArticleSIMBA SC: KAULI YA RAIS KWETU NI AGIZO
Na Bakari Madjeshi, Michuzi TVMENEJA wa Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Simba, Ahmed Ally amesema kuwa wanachukulia kauli ya Rais wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan kama agizo kwao baada ya...
View ArticleKikosi cha Ruvu Shooting FC kuwavaa Geita Gold FC February 17
KIKOSI cha Ruvu Shooting FC Kinatarajia kuondoka Mkoani Morogoro siku ya February 15, 2023 kuelekea Mkoani Geita kwenda kutupa karata yake ya 23 katika msimu wa ligi kuu ya NBC 2023 dhidi ya wenyeji...
View ArticleMeridianbet Yafika Radio One na Kutoa Vitu Hivi
Februari 13 kila mwaka siku ya Redio duniani kampuni ya michezo ya ubashiri Tanzania Meridianbet imetoa vifaa vya kutendea kazi kwa kituo cha Habari cha Radio One, Hii ni katika kuendeleza taratibu wa...
View ArticleMCHANGO WA SEKTA YA MADINI KWENYE PATO LA TAIFA WAFIKIA ASILIMIA 9.7-BITEKO
*Dkt. Biteko afungua mkutano wa wadau wa sekta ya Madini kujadili changamoto na fursa zilizopo katika sekta hiyo**Serikali imezifuta zaidi ya leseni 7,000 zisizoendelezwa*Na Mwandishi wetu....WAZIRI...
View ArticleMSHINDI WA TZS 20M MERIDIANBET ALIBETIA USHINDI WA MOJA KWA MOJA NA MAGOLI
MFALME mpya wa kubeti kutoka Meridianbet amepatikana. Mfalme huyo anayetokea mkoani Mbeya alijipatia kitita cha Milioni Ishirini na laki moja, elfu nne na mia mbili tu. (20,104,200/=). Odds kubwa za...
View ArticleAMCOS MBOZI KUCHUNGUZWA-MAJALIWA
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali itafanya uchunguzi kwa vyama vya Msingi vya Ushirika (AMCOS) wilayani mbozi mkoani Songwe na watakaobainika kuhusika na ubadhirifu wowote watachukuliwa...
View ArticleMahakama Kuu yatupiliambali kesi na maombi ya Koyi kubaki rais wa TCCIA
Na Mwandishi wetu, DodomaMAHAKAMAKuu ya kanda ya Dodoma, imetupiliambali kesi ya msingi na maombi ya kisheria ya Rais wa TCCIA Paul Faraj Koyi ambaye aliiomba mahakama arejeshwe kwenye uongozi wake...
View ArticleTCDC YAWAKARIBISHA WADAU SEKTA YA USHIRIKA KUJADILI NA KUWEKA MKAKATI WA...
Dar es Salaam 14 Februari 2023 - Tume ya Maendeleo ya Ushirika (TCDC) kwa kushirikiana na Shirikisho la Vyama vya Ushirika Tanzania (TFC) wameandaa mkutano maalum wa wadau wa sekta ya ushirika...
View ArticleVETA KANDA YA KATI YATOA MAFUNZO YA UFUGAJI KUKU KWA WAJASIRIAMALI WILAYA YA...
Afisa Masoko na Utafiti Veta Kanda ya Kati, Sadan Komungoma akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo hayo.Mkurugenzi wa VETA Kanda ya Kati, John Mwanja akizungumza leo Februari 14,2023 wakati wa...
View ArticleKASINO YA MTANDAONI MERIDIANBET IMEONGEZA SLOTI MPYA
MERIDIANBET wameongeza gemu mpya na rahisi kushinda inayokupa mizunguko kibao na bonasi nyingi kutoka Kasino ya mtandaoni kutoka Meridianbet ni sloti ya Pia Premium ambayo husafirisha wachezaji kwenye...
View ArticleMKURUGENZI MKUU TTB AWATAKA WATUMISHI KUTEKELEZA MAJUKUMU YAO KWA KUSHIRIKIANA
Picha ya PamojaMkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Utalii Tanzania Bw. Damasi Joseph Mfugale akiongea na Watuishi wakati wa mkutano uliofanyika katika ofisi za TTB Dar es Salaam.MKURUGENZI Mkuu wa Bodi ya...
View Article