Quantcast
Channel: MTAA KWA MTAA BLOG
Browsing all 39120 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RC MTAKA AWASILISHA UTEKELEZAJI WA ILANI 2021/22

  Mkuu wa Mkoa wa Njombe Anthony Mtaka akiwasilisha Taarifa ya Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi  Chama cha Mapinduzi 2020/2025 kwa kipindi cha miaka miwili.Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Mkoa wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI ZAKUBALIANA MATUMIZI YA TEHAMA KATIKA KUKABILIANA NA...

  Na Chalila Kibuda, Michuzi TVNCHI za Afrika Mashariki za Tanzania , Kenya pamoja na Uganda  zimekubaliana kwenda mbele katika matumizi ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano  (TEHAMA) kwenye sekta ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mawakala Utalii wamiminika nchini

 Mawakala Utalii wamiminika nchiniMAWAKALA wa Utalii wameanza kumiminika nchini ili kuangalia vivutio vya Utalii hapa nchini na kwenda kuvitangaza nchini mwao.Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BILIONI 14 ZILIVYOJENGA SHULE MPYA ZA SEKONDARI 11 NA VITUO VYA AFYA 12 RUVUMA

 Bilioni 14 zajenga shule mpya 11 na vituo vya afya 12 Ruvuma SERIKALI ya Awamu ya sita inayoongozwa na Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan imetoa zaidi ya shilingi bilioni 14 kujenga shule mpya za sekondari...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Agizo la Waziri Aweso latekelezwa Mwanza

 Na Mohamed Saif Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb) ameielekeza Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA) kuanza mara moja kuongeza mtandao wa usambazaji maji Kata ya Buswelu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKUSANYO KODI YA ARDHI YAONGEZEKA KUFIKIA BILIONI 33.9

 Na Munir Shemweta, WANMMWizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi imefanikiwa kukusanya kiasi cha shilingi Bilioni 90.9 katika kipindi cha kuanzia Julai hadi Disemba 2022 kama kodi ya pango la...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UDAHILI UMEFUNGULIWA- MACHI INTAKE

 

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DUWASA YA SAINI MKATABA WA UBORESHAJI HUDUMA NZUGUNI

 MKUU wa Mkoa wa Dodoma, Mhe. Rosemary Senyamule (wa pili kushoto) na Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini, Mhe. Jabir Shekimweri (wa tatu kulia) wakishuhudia Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Balozi wa Denmark aipongeza Benki ya CRDB kwa Matokeo Mazuri ya Fedha

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (wakwanza kulia) akimwelezea Balozi wa Denmark nchini, Mette Nørgaard Dissing-Spandet (wapili kushoto) juu ya Mkakati mpya wa Miaka Mitano wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Benki ya Exim Yahitimisha Rasmi Kampeni Yake ya Ugawaji Madawati 1,000...

 Dodoma: Februari 08, 2023;  Kampeni ya ugawaji wa madawati 1000 iliyokuwa inaendeshwa na benki ya Exim Tanzania katika mikoa mbalimbali hapa nchini imehitimishwa rasmi mkoani Dodoma kwa benki hiyo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CAPITAL MARKETS AND SECURITIES AUTHORITY SECURITIES INDUSTRY CERTIFICATION...

  

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YATOA UFAFANUZI KUHUSU WATAHINIWA WALIOFUTIWA MATOKEO YA MITIHANI...

 Na Janeth Raphael - DodomaSerikali kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imetoa ufafanuzi kuhusu watahiniwa waliofutiwa matokeo ya mitihani ya kidato cha nne mwaka 2022.Akitoa ufafanuzi huo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RUVUMA WAMSHUKURU RAIS SAMIA KWA FEDHA ZA UJENZI WA SEKONDARI MPYA ZA KISASA

 WANANCHI mkoani Ruvuma wamemshukuru Rais Dkt.Samia Suluhu kwakutoa fedha ambazo zimewezesha kujengwa kwa sekondari mpya zenyemazingira ya kuvutia katika Halmashauri zote nane.Mkurugenzi wa Halmashauri...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATEJA 7 NA WENZA WAO WAFIKISHA UKOMO WA KAMPENI YA KUHAMASISHA MATUMIZI YA...

 Kampeni ya kuhamasisha matumizi ya NMB mastercard na QR Code 'Lipa Mkononi' iitwayo NMB MastaBata 'Kote Kote', imefikia ukomo kwa wateja 7 na wenza wao kujishindia safari ya Dubai kwa siku nne...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BENKI YA NMB YAZINDUA RASMI KAMPENI YA 'UMEBIMA -TELEZA NA HII' ! VISIWANI...

 Benki ya NMB ikiwa wasambazaji wa bidhaa mbalimbali za makampuni 10 ya bima, wamezindua rasmi kampeni ya 'Umebima - Teleza na Hii!' visiwani Zanzibar itakayowawezesha kutoa elimu na kuhamasisha mauzo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Picha ya Leo

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SUA WASAINI MoU NA TAASISI ZOTE ZA WIZARA YA KILIMO KUINUA KILIMO NCHINI

  Na: Calvin Gwabara – Morogoro.Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) na Taasisi zote zilizo chini ya Wizara ya Kilimo zinazojishughulisha na undelezaji wa pembejeo za Kilimo Utafiti na uzalishaji...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MASHIRIKIANO YA TANZANIA NA JAPAN YANA FAIDA KATIKA KUPIGA HATUA KIMAENDELEO

 Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) - Taaluma, Prof. Boneventure Rutinwa (wa kwanza kulia) akiwa na Mwakilishi Mkuu wa Shirika la JICA nchini Tanzania, Yamamura Naofumi (katika) na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LSF YAKUTANA NA MASHIRIKA MAPYA YATAKAYOPOKEA RUZUKU YA USIMAMIZI UPATIKANAJI...

 Meneja Programu wa Legal Services Facility (LSF), Wakili Deogratias Bwire.SHIRIKA la Legal Services Facility (LSF) limefanya kikao kazi cha pamoja na mashirika (Zonal Mentors Organizations – ZMOs)...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATUMISHI TMA WATAKIWA KUISHI KAULI MBIU YA MHE. RAIS KWA VITENDO

 Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya hali ya hewa nchini, (TMA), Dkt. Ladislaus Chang'a akizungumza na wadau wa mamlaka hiyo wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya siku mbili ili kuwaongzea uwezo katika...

View Article
Browsing all 39120 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>