SHIRIKA LA TANESCO LISIKIKILIZENI KILIO CHA WAKAZI WA MWANAGATI-KITUNDA!
 Wananchi wa Mwanagati-Kitunda jijini Dar es Salaam na maeneo jirani wamelilalamikia shirika la TANESCO kwa kukatiwa umeme kwa siku tatu mfululizo,bila taarifa yoyote kutolewa kwa wakazi hao.''hatuna...
View ArticleWanawake wataka umuhimu wa uwepo wa masuala ya jinsia katika Katiba
Mwenyekiti wa Umoja wa Wabunge Wanawake Tanzania (TWPG), Mhe. Anna Abdallah akifungua Semina iliyoandaliwa na Umoja huo kwa kushirikiana na Mtandao wa Wanawake na Katiba kwaajili ya Wajumbe wa Bunge...
View ArticleMKOA WA KAGERA WACHUKUA TAHADHARI DHIDI YA EBOLA
Na. Aron Msigwa –MAELEZO,Kagera.Mkoa wa Kagera umechukua tahadhari dhidi ya ugonjwa wa Ebola kwa kuongeza nguvu katika udhibiti na ukaguzi wa raia wa kigeni kutoka nchi za Burundi, Rwanda, Uganda na...
View ArticleKAMPUNI YA TRAVELPORT YAZINDUA MFUMO MPYA UTAKAOWAWEZESHA MAWAKALA WA NDEGE...
Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Travelport Tanzania,Eliasaph Mathew akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa Mfumo (System) mpya wa uuzaji wa tiketi za ndege uitwao Precise Sky utakaotumiwa na Mawakala...
View ArticleBODI YA WAKURUNGENZI YA DAWASA YATEMBELEA ENEO LA MRADI WA UJENZI WA BWAWA LA...
Meneja Usimamizi, Undeshaji na Mazingira toka Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es Salaama (DAWASA), Bi.Modesta Mushi akiwaneosha Wajumbe wa Bodi ya Wakurungenzi wa mamlaka hiyo ramani ya Ujenzi wa...
View ArticleJOPO LA MAJAJI KWA AJILI YA KUMTAFUTA MSHINDI WA TUZO YA RAIS YA HUDUMA ZA...
Msafara uliobeba timu ya majaji wanaoendesha zoezi la kumtafuta mshindi wa Tuzo ya Rais ya Huduma za Jamii na Uwezeshaji ukichanja mbuga kuelekea katika kijiji cha Chanjagaa wilayani Same kwa ajili ya...
View ArticleUTAFITI WAIBUA MAKUBWA NGONO ZA UTOTONI JIJINI DAR
Mratibu wa mradi wa PREPARE ambaye pia ni Mwanasaikolojia wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi shirikishi cha Muhimbili, Kitengo cha magonjwa na afya ya akili, Lusajo Kajula (kushoto) akizungumza na...
View ArticleMRADI WA MAJARIBIO WA KUFUNDISHA MASOMO YA SAYANSI WA UNESCO WANEEMESHA TANZANIA
Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) Tanzania, Zulmira Rodrigues akisoma risala ya kufungwa kwa mradi huo ambao uliojulikana kama Micro...
View ArticleTamasha la Handeni Kwetu kufanyika Desemba 13
TAMASHA kubwa la umataduni linalojulikana kama 'Handeni Kwetu' limepangwa kufanyika Desemba 13 mwaka huu, katika Uwanja wa Azimio, wilayani Handeni, mkoani Tanga.Katika tamasha hilo linalofanyika kwa...
View ArticleRAIS KIKWETE ATEMBELEA WILAYA YA CHAMWINO KATIKA ZIARA YAKE YA MKOA WA DODOMA
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Mkuu wa Wilaya ya Chamwino Mhe. Fatma S. Ally alipowasili wilayani humo kukagua miradi ya maendeleo na kuzungumza na wananchi Rais Kikwete akisalimiana na...
View ArticleSOKA FESTIVAL MASSACHUSETTS CHINI YA UONGOZI WA JUMUIYA YA WATANZANIA NEW...
 Watanzania wa Massachusetts wakijumuika pamoja kwenye Soka Festival inayofanyika kila mwaka wakati wa majira ya joto.Mkuu wa Wilaya ya Springfield Alhaji Isaac Kibodya katika picha ya pamoja na...
View ArticleElihuruma Ngowi joins Serengeti Breweries Ltd
Mr. Elihuruma Ngowi has joined Serengeti Breweries Ltd. as Brand Manager with a profound experience in Customer Care, Marketing and Sales after having spent over eight (8) years at Vodacom Tanzania...
View ArticleSOMO: Umuhimu wa vipimo na takwimu ili kuboresha biashara
Katika dunia hii ya utandawazi, ushindani ni kitu kisichoepukika. Haijarishi wewe unafanya biashara ya kuuza peni au una blogu yako au hata unauza dhahabu. Utandawazi umeweza kuwafanya wanunuzi wawe na...
View ArticleMISINGI YA USAWA WA JINSIA IKILINDWA KATIKA KATIBA MPYA, TUTAPATA KATIBA...
Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba (wa kwanza kulia) akipitia taarifa ya mapendekezo ya mtandao wa wanawake na Katiba Tanzania wakati wa semina iliyofanyika 30 Agosti, 2014 kwenye Ukumbi wa...
View ArticleMH. BENDERA AFUNGUA WARSHA YA SIKU MBILI YA WAANDISHI WA HABARI INAYOHUSU...
JAMII nchini imepewa wito wa kuacha kudharau taarifa za hali ya hewa zinazotolewa na Mamlaka ya hali ya hewa nchini ili kupunguza uwezekano wa kutokea majanga makubwa.Wito huo umetolewa leo na Mkuu wa...
View ArticleAMERICAN SENATORS VISIT SERENGETI NATIONAL PARK
Five American Senators have started a two days visit in Serengeti National Park as part of the official program in the country.The delegation led by the Senator of Michigan Ms. Debbie Stabenow who is...
View ArticleSerikali yabaini kilogram 6,428.12 za dawa za kulevya mwaka 2013
Mkuu wa kitengo cha Sayansi ya Makosa ya Jinai Kemia kutoka Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali Bw. Elias Mulima akiongea na waandishi wa Habari (hawapo pichani) kuhusu matumizi ya dawa aina ya Cocaine...
View ArticleRAIS KIKWETE AHUDHURIA MKUTANO WA AMANI NA USALAMA WA BARAZA LA AMANI NA...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Jomo Kenzatta jijini Nairobi leo kujiunga na viongozi wengine wanaounda Baraza la Amani na Usalama la nchi za umoja wa...
View Article