MH. MAGUFULI KUFUNGUA RASMI MAADHIMISHO YA 12 YA SIKU YA WAHANDISI TANZANIA.
Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya Siku ya Wahandisi Tanzania yatakayofanyika tarehe 4 na 5 Septemba 2014 katika ukumbi wa Mlimani City jijini...
View ArticleFire razes Big Brother Africa houses to ground, Sunday launch postponed
Reports reaching Myjoyonline.com indicate that the Big Brother Africa (Hotshot) Houses, in the Sasani Studios in Johannesburg, have been burnt to the ground.Sources tell Myjoyonline.com that the...
View ArticleAYSHA CHEYO NDIYE MISS TANZANIA USA PAGEANT 2014
Miss Tanzania USA Pageant wa 2013 Joy Kalemera akimvisha taji miss Tanzania USA pageant 2014 Aysha Cheyo siku ya Jumamosi Aug 31, 2014 Baada ya kunyakua taji hilo kwenye mashindano ya umiss...
View ArticleTIMU YA YANGA NA BENKI YA CRDB WAINGIA MAKUBALIANO YA UTENGENEZAJI WA KADI ZA...
NA CLEZENCIA TRYPHONE BENKI ya CRDB imeingia mkataba na klabu ya Yanga kwa ajili kutengeneza kadi za kisasa za uanachama wa klabu hiyo, ambazo pia watazitumia kuingilia viwanjani katika mechi...
View ArticleHIFADHI YA TAIFA YA KITULO MAKETE YAZIDI KUJIIMARISHA ZAIDI
Mkuu wa wilaya ya Makete Mh. Josephine Matiro akiangalia maporomoko ya maji yaliyopo kwenye hifadhi ya taifa ya Kitulo. ===== Na Edwin Moshi, Makete.Hifadhi ya taifa ya Kitulo iliyopo wilayani Makete...
View ArticleFILAMU YA ‘MATESO YA UGHAIBUNI’ KUZINDULIWA JIJINI DAR
Mkurugenzi wa Didas Fashion, Khadija Ayoub Seif, (Wa pili toka Kushoto) akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam kuelezea uzinduzi wa Filamu ya Mateso Ughaibuni inayotarajiwa kuzinduliwa...
View ArticleHUC YATANGAZA UFADHILI WA MASOMO YA UFUNDI VETA, VIJANA CHANGAMKIENI
Na Nathan Mpangala wa HUC.Shirika lisilo la kiserikali la Help for Underserved Communities Inc. (HUC), linatangaza nafasi za ufadhili wa masomo ya ufundi VETA kwa vijana wa Kitanzania. Kozi hizo ni...
View ArticleMABOSS WA AIRTEL TANZANIA WAENDELEZA MAPAMBANO DHIDI YA FISTULA
Wakuu wa makampuni tofauti pamoja na wakurugenzi wa vitengo mbali mbali vya kampuni ya Airtel Tanzania wameendelea kuonyesha kuguswa kwa kushiriki kutimiza shinikizo toka kwa Mkurugenzi mkuu wa Artel...
View ArticlePartnership to Implement Participatory Forest Management (PFM) in Ruvuma...
Tunduru District Commissioner Mr. Chande Bakari Nalicho officially launching a partnership to implement Participatory Forest Management - PFM among Tunduru District Council, World Wide Fund for Nature...
View ArticleAZANIA BANKI YAWATAKA WANANCHI KUWA NA MAZOEA YA KUJIWEKEA AKIBA
MKURUGENZI mtendaji wa Azania benki,Charles Singili amewataka wananchi kuwa na mazoea ya kujiwekea akiba kwa manufaa ya baadae.Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo wakati wa...
View ArticleMicrosoft Windows Phone 8.1 yatambulishwa Tanzania kupitia Lumia 930, Lumia...
WAFANYABIASHARA na watumiaji wengine wa simu za kiganjani wamepata matumaini mapya baada ya simu nyingine tatu aina ya Nokia Lumia 530, 630 na 930 kuzinduliwa. Kwa mujibu wa Meneja uzalishaji wa...
View ArticleRAIS KIKWETE AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA BARABARA YA MAYAMAYA – MELA-BONGA...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (katikati) akiweka jiwe la msingi kuashiria uzinduzi rasmi wa barabara ya Mayamaya –Mela - Bonga Km 188.15. Wengine...
View ArticleTuwapige vita wanyanyasaji mitandaoni
NIANZE kwa kuomba samahani kwa kutoonekana kwenye toleo lililopita. Hali hiyo ilitokana na sababu zilizokuwa nje ya uwezo wangu.Pili, ninaomba kwa niaba ya wakazi wa Wilaya za Kilombero na Ulanga,...
View ArticleSerikali yaanza kutekeleza mradi wa ujenzi wa nyumba 10,000 kwa ajili ya...
Frank Mvungi-MaelezoSerikali yaanza kutekeleza mradi wa ujenzi wa nyumba 10,000 kwa ajili ya makazi ya wanajeshi kote nchini.Hayo yamesemwa na Msemaji wa Wizara ya Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa Meja...
View ArticleMADARAKA NYERERE NA VITALIS MAEMBE KUPANDA MLIMA KILIMANJARO KUCHANGIA JUKWAA...
Na Mwandishi wetuMadaraka Nyerere, Mtoto wa Hayati Baba wa Taifa Julius Nyerere, pamoja na Mwanamuziki Mzalendo Vitali Maembe wameteuliwa na shirika lisilo la kiserikali Culture and Development East...
View ArticleTAARIFA - TUME YA UCHUNGUZI OPERESHENI TOKOMEZA YAANZA RASMI KUPOKEA TAARIFA...
Tume ya Rais ya Uchunguzi wa Operesheni Tokomeza ujangili inatoa taarifa kwa umma kuwa imeanza rasmi kupokea taarifa na malalamiko mbalimbali kuhusu utekelezaji wa Operesheni Tokomeza Ujangili...
View ArticleForums ya maarifa ya IT Tanzania: Jifunze kutenda
Katika maendeleo ya jamii yoyote, moja ya kitu muhimu ni kukuwa kwa maarifa ya wanajamii. Maarifa yatakayowapa uwezo wa kutumia ujuzi kwenye kutenda. Haijalishi upo kwenye fani gani, bali siku ya...
View Article