TCD WAZINDUA JUKWAA LA WANAWAKE WA VYAMA VYA SIASA
Mwenyekiti wa TCD, Profesa Ibrahim Lipumba na viongozi wengine wakipiga makofi baada ya kuzindua jukwaa la Majadiliano la Wanawake wa Vyama vya Siasa taifa kwaajili ya kukuza nafasi ya ushiriki wa...
View ArticleWATANZANIA WAWILI HAWAJULIKANI WALIPO NCHINI ISRAEL
SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inazo taarifa za kupotea kwa Watanzania wawili nchini Israel ambao ni miongoni mwa vijana 260 waliopo nchini humo kwa mafunzo ya kilimo cha kisasa.Serikali...
View ArticleY9 Microfinance yawazawadia washindi wa droo ya mikopo ya aina tatu,...
Taasisi ya kifedha ya Y9 Microfinance imekabidhi Anne Chimenya zawadi yake ya pikipiki baada ya kuibuka mshindi katika droo ya pili ya kampeni ya pakua app ya Y9 Microfinance na kupata huduma ya tatu...
View ArticleSERIKALI YABAINISHA MIKAKATI ENDELEVU KWA AJILI YA KUIMARISHA MFUKO WA...
NA; MWANDISHI WETU – DODOMA Ofisi ya Waziri Mkuu kwa kushirikiana na Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania, inaendelea kushauriana na Serikali kuhusu kuwa na chanzo endelevu na cha uhakika cha Mfuko wa...
View ArticleMAKONDA, RABIA ‘WARIPOTI’ KWA CHONGOLO, AWAPATIA RUNGU KUANZA KAZI
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Komredi Daniel Godfrey Chongolo amesema CCM iko salama na imara katika kusimamia misingi, shabaha na malengo yake, ikiwemo kuendelea kuwa daraja la kusikiliza...
View ArticleKAMPUNI YA ORYX GAS YATOA MITUNGI 600 PAMOJA NA MAJIKO YAKE KWA WANAWAKE...
Na Mwandishi Wetu, Kasulu.KATIKA kuunga mkono jitihada za Rais Dk.Samia Suluhu Hassan kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia Kampuni ya Oryx Gas imeendeleza jitihada hizo kwa kugawa bure...
View ArticleTANZANIA KUFAIDIKA NA FEDHA ZA MABADILIKO YA TABIACHI
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Global Green Growth (GGGI) Dkt. Frank...
View ArticleWIZARA YA NISHATI NA JICA WAJADILIANA UJENGAJI UWEZO KATIKA GESI ASILIA
Viongozi wa Wizara ya Nishati pamoja na ujumbe wa Wataalam kutoka Shirika la Maendeleo la Japan (JICA) wamefanya kikao kazi kuhusu utekelezaji wa mradi wa kujengea uwezo Wizara ya Nishati, Shirika la...
View ArticleTanzania na Uganda wajadiliana Ujenzi wa Mradi wa Bomba la kusafirisha Gesi...
-- Rasimu ya Mkataba baina ya nchi hizo mbili kusainiwa mwezi Novemba, 2023Serikali ya Tanzania na Uganda zimekubaliana kuwa Rasimu ya Mkataba Mahsusi Baina ya Tanzania na Uganda (Bilateral Agreement)...
View ArticleSloti ya Bounty Hunters Furahia Ushindi
*Furahia Mavuno na Bounty Hunter Kasino ya Mtandaoni.MAZINGIRA ya kuvutia ya mwituni ndio upekee wa mchezo huu wa kasino ya mtandaoni, watengenezaji Expanse Studio wameamua kuja na Sloti mpya ya Bounty...
View ArticleOKTOBA YA MWISHO IMEKUJA NA NEEMA ZAKE MERIDIANBET
WIKENDI hii ligi zinarejea na maokoto yapo ya kutosha ndani ya Meridianbet hivyo nafasi ni yako wewe ambaye ulikuwa ukiota ndoto ya kuwa Milionea na kwa dau lako dogo tuu unaweza kutimiza malengo yako...
View ArticleMKUU WA CHUO CHA CATC ATOA NENO MKUTANO WA WAANDISHI WA HABARI WA DAR ES SALAAM
Chuo cha Usafiri wa anga Tanzania (CATC) kimetoa mafunzo ya ndege nyuki (Drone) kwa jumla ya wahitimu 202 ndani ya kipindi cha miaka mitatu tangu kuanza kutolewa mafunzo hayo hapa nchini yanayotolewa...
View ArticleMANISPAA YA TABORA YAINGIA MKATABA WA MIAKA 33 NA BENKI YA MAENDELEO YA...
Halmashauri ya Manispaa ya Tabora imeingia Mkataba wa miaka thelathini na tatu (33) na Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) kwa kuwapa jengo mojawapo ya majengo yake ili Benki hii iweze kutoa...
View ArticleMAJALIWA ATEMBELEA BANDA LA GGML KATIKA MAONESHO YA MADINI, AIPA TANO...
Na Mwandishi WetuWAZIRI Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa ametembelea banda la Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) kwenye maonesho ya madini kando ya Mkutano wa Kimataifa wa Uwekezaji katika...
View ArticleWAZIRI JAFO AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI KOREA KUSINI
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akifanya mazungumzo na Balozi wa Tanzania nchini Korea Kusini Mhe. Togolani Mavura katika Ofisi za Ubalozi wa...
View ArticleUWT KUFANYA VIKAO VYAKE VISIWANI ZANZIBAR, WAANDAA TUKIO KUBWA KUMPONGEZA...
*Kamati ya Utekelezaji wabariki Serikali kusaini uendelezaji bandari DarNa Said Mwishehe, Michuzi TVKATIBU Mkuu wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania( UWT) Jokate Mwegelo amesema kwa mara ya kwanza vikao vya...
View ArticleTUGHE YATOA MSAADA WA MASHUKA KATIKA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA YA MOUNT...
27 Oktoba 2023, ArushaChama cha Wafanyakazi wa Serikali na Afya Tanzania (TUGHE) leo, Ijumaa 27 Oktoba 2023 wametoa msaada wa Mashuka 300 katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa ya Mount Meru pamoja na ile...
View ArticleRAIS DKT. SAMIA APONGEZWA KWA KUTAMBUA MCHANGO WA WATETEZI WA HAKI ZA...
Tume ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu imempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kushirikiana na Watetezi wa Haki za Binadamu na kutambua...
View ArticleMAUZO YA HATIFUNGANI YA KIJANI YA BENKI YA CRDB YAVUKA MALENGO, CMSA YATOA...
Na Mwandishi Wetu, Michuzi TVOFISA Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana(CMSA) CPA.Nicodemus amesema mauzo ya toleo la kwanza la kijani ya Benki ya CRDB yaliyofunguliwa Agosti 31,2023...
View ArticleMV. MBEYA II MKOMBOZI USAFIRI WA MAJINI KWA WANANCHI WA RUVUMA NA MBEYA
Naibu Waziri wa Wizara ya Uchukuzi Mhe. David Kihenzile amesema kuanza kutoa huduma kwa meli ya MV. Mbeya II kutarajiwa kurahisisha usafirishaji wa abiria na Mizigo kwa mikoa inayozunguka Ziwa...
View Article