Quantcast
Channel: MTAA KWA MTAA BLOG
Browsing all 39237 articles
Browse latest View live
↧

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KASINO YA MTANDAONI MERIDIANBET INAKUPA MKWANJA KIRAHISI

 *Sloti ya Blackjack LiveMOJA kati ya michezo pendwa na wengi ni Sloti ya BlackJack Live, mchezo huu unapatikana kasino ya mtandaoni ya Meridianbet ambapo huu unakuwa na karata 8 tu, ili ushinde...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CMSA yatunuku vyeti, tuzo

  Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA) imeeleza kuwa ina jukumu la kutoa elimu kwa umma kuhusu fursa na faida zinazopatikana katika masoko ya mitaji na kujenga uwezo wa wataalamu wanaotoa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wizara ya fedha yaipongeza CMSA kutunuku watendaji wanaokidhi kimataifa

 NAIBU Waziri wa Fedha, Hamad Hassan Chande, ameipongeza Mamlaka ya Masoko na Mitaji ya Dhamana (CMSA) kwa kuendesha kozi ya watendaji katika masoko ya mitaji inayokidhi viwango vya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAPEPELE AWAONGOZA WANAHABARI KUTEMBELEA MIRADI YA REGROW, HIFADHI YA NYERERE.

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Wizara ya Maliasili na Utalii, Bw. John Mapepele, leo amewaongoza wanahabari kutembelea miradi inayofanywa na Mradi wa Kuboresha Usimamizi wa Maliasili na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NENO LA LEO MTAANI

 

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATAALAMU WA UBONGO NA MISHIPA YA FAMAMU KUSINI MWA JANGWA LA SAHARA...

Serikali imesema itaendelea kuwajengea uwezo wataalamu namna ya kubaini na kumhudumia mgonjwa mwenye changamoto za magonjwa ya Ubongo, Mgongo na Mishipa ya Fahamu hapa nchini kwa kutambua kuwa magonjwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TaSUBa KITOVU CHA MAFUNZO TASNIA ZA SANAA NA UTAMADINI NCHINI-DKT. BITEKO

--Amefunga tamasha la 42 la Kimataifa la Utamaduni Bagamoyo--Aipongeza Wizara kwa kutangaza utamaduni wa nchi--Sanaa iwe nyenzo kuunganisha wananchiImeelezwa kuwa, Taasisi ya Sanaa na Utamaduni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NI MANCHESTER DERY YA MAOKOTO

 EEEEH bwana wee Jumapili kuna mchezo mmoja wa kikubwa sana nao sio mwingine ni Manchester derby kati ya Manchester United dhidi ya Manchester City mchezo ambao umepewa ODDS BOMBA pale Meridianbet na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ONGEZA USHINDI WAKO NA SLOTI YA FOREST ROCK

 *Sloti ya Forest RockMAISHA ya kale na ya sasa ni tofauti sana, zamani hakukuwa na TV wala smartphone zamani tulikua tunapata burudani kwa njia ya masimulizi yani fasihi Simulizi, hadithi nyimbo na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UKICHAGUA MERIDIANBET KASINO UMECHAGUA UTAJIRI

 *Sloti ya Circus Fever DeluxeKASINO ya mtandaoni ya Meridianbet kila siku inakuletea sloti na michezo mingi ya kasino inayokupa nafasi ya kushinda kirahisi huku unaburudika. Sloti kama Circus Fever...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAMWA ZNZ yashauri Serikali kuboresha Miundombinu Mahakama Inayodhalilisha

 SERIKALI imeshauriwa kukarabati na kuboresha miundombinu ya Mahakama maalum ya kushughulikia kesi za udhalilishaji Zanzibar ikiwa ni pamoja na kuwezesha matumizi ya ushahidi wa kielektroniki ili kuwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kijani Bond ya Benki ya CRDB yaorodheshwa DSE baada ya kufanikiwa kukusanya...

Kamishna wa Idara ya Uendelezaji Sekta ya Fedha kutoka Wizara ya Fedha, Dkt Charles Mwamaja (katikati) akiwasili katika hafla ya kutangaza matokeo ya hatifungani ya kijani ya Benki ya CRDB ‘Kijani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKENDA AIPONGEZA NIT KUJIKITA ZAIDI KUTOA MAFUNZO YA AMALI

Na Mwandishi wetu Dar es salaamWaziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof Adolf Mkenda amekipongeza Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) kwa kujikita zaidi katika kutoa mafunzo ya amali na kuwaasa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MHE. KAIRUKI KUFUNGUA MKUTANO WA KAMISHENI YA MISITU NA WANYAMAPORI YA AFRIKA

Na John Mapepele Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Jasmin Kairuki (Mb) anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi kwenye mkutano wa 24 wa Kamisheni ya Misitu na Wanyamapori ya Afrika utakaofanyika kuanzia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI WA ELIMU AELEZA SABABU ZA NIT KUPEWA FEDHA NYINGI MRADI WA EASTRIP

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda akiwa katika chumba cha kujifunzia kuendesha ndege kilichopo chuoni NIT jijini Dar es Salaam. WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MHE.KAIRUKI AMWAPISHA KIIZA, KAMISHNA MPYA NGORONGORO, ASISITIZA KUENDELEA...

Na John MapepeleWaziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki leo Oktoba 29,2023 amemwapisha Kamishna mpya wa Hifadhi ya Ngorongoro katika ofisi za makao makuu ya Hifadhi hiyo mkoani Arusha,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wizara ya Fedha yaziasa Taasisi kutumia Masoko ya Mitaji

Wizara ya Fedha imeziasa taasisi za umma na binafsi kutumia masoko ya mitaji ili kuchochea uchumi.Akizungumza jijini Dar es Salaam, Kamishna wa Idara ya Uendelezaji wa Sekta ya Fedha Wizara ya Fedha,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NIFANYEJEKUSHINDAKASINOYAMTANDAONI MERIDIANBET?

 * Jisajili Meridianbet na upate mizunguko ya bure ya kasino yamtandaoni! Bonyeza hapa.NI rahisi sana kuamka Tajiri kama tu utakua umeichagua kasino ya mtandaoni ya Meridianbet kwasababu ukijisajili tu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DICOCO, HOSPITALI SINAI WATOA HUDUMA YA KUPIMA AFYA BURE WAANDISHI DCPC

 Na Said Mwishehe, Michuzi TVTAASISI inayojuhusisha na utoaji elimu ya kisukari kwa jamii(DICOCO) kwa kushirikiana na Hospitali ya SINAI wametoa huduma ya kupima sukari, presha na uzito kwa waandishi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TBS YASHIRIKI MAONESHO YA NNE YA SIDO KITAIFA NJOMBE

Na Mwandishi Wetu, NjombeWAJASIRIAMALI wanaozalisha bidhaa za aina mbalimbali wameshauriwa kuthibitisha ubora wa bidhaa ili kupata masoko ya ndani na nje ya nchi.Hatua hiyo itawawezesha kuongeza ubora...

View Article
Browsing all 39237 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>