TALGWU WATOA TAMKO KATIKA MAADHIMISHO SIKU YA MIJI DUNIANI
Na Mwandishi wetuKATIKA Kuadhimisha siku ya miji duniani ambayo hufanyika kila mwaka ifikapo Oktoba 31, Chama Cha Wafanyakazi wa Serikali za Mtaa Tanzania ( TALGWU) kimesema kuwa haki za Wafanyakazi...
View ArticleJisajili Meridianbet na ushinde mizunguko ya bure kucheza michezo ya kasino....
*Sloti ya Crazy TimeHAYAWI hayawi sasa yamekuwa. Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet kwa kushirikiana na watengenezaji mahiri wa michezo ya kasino za mitandaoni - Evolution Gaming, wanakuletea mchezo...
View ArticleMERIDIANBET YASAPOTI MICHEZO KIJITONYAMA
KAMPUNI ya Meridianbet imefika Kijitonyama mtaa wa Ali Maua B na kuhakikisha wanatoa sapoti kwa wapenda michezo wa eneo ambapo wamefanikiwa kutoa vifaa vya michezo kwa klabu ya Magic Power ya eneo...
View ArticleTAKUKURU RAFIKI YAOKOA MIL.4 ZA SERIKALI YA KIJIJI CHA KANGA MAFIA
Na Khadija Kalili, Michuzi TvKAIMU Kamanda wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Pwani, Bakari Alli amesema kuwa wamefanikiwa kuokoa kiasi cha Mil.4 kwa kupitia mikutano ya...
View ArticleTCAA yatolea ufafanuzi kuhusu kibali cha ndege iliyokodiwa na CHADEMA
TCAA yatolea ufafanuzi wa habari inayosambaa kuhusu kibali cha ndege iliyokodiwa na CHADEMAMamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) imesema katika siku za hivi karibuni, hakuna chama chochote cha...
View ArticleFILAMU 234 ZIMEPITA KATIKA MCHUJO WA AWALI WA TUZO ZA FILAMU TANZANIA 2023
Katibu Mkuu wa Wizara ya Sanaa Utamaduni na Michezo Gerson Msigwa akizungumza na Wanahabari pamoja na Wadau wa Kazi za Sanaa Leo Oktoba 31,2023 Jijini Dar es Salaam wakati wa Kutangaza Filamu...
View ArticleDIT YAPONGEZWA KUWAFIKIA WANAFUNZI 971 BUHIGWE, KIGOMA
Mkuu wa Wilaya ya Buhigwe Mkoani Kigoma Kanali Michael Majala Ngayalina ameipongeza Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT) kuwafikia wanafunzi 971 wa shule ya Sekondari Buyenzi Kwa lengo la...
View ArticlePROF. KABUDI AWAFUNZA VIONGOZI VIJANA UMUHIMU WA KISWAHILI PAMOJA NA...
Prof Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi (Mb) ameshiriki Kutoa Mafunzo ya uongozi kwa Viongozi Vijana kutoka UWT na UVCCM, ambapo Leo tarehe 01 Novemba katika Shule ya Uongozi ya Mwalimu Julius...
View ArticleMWONGOZO WA UDHIBITI WA NDANI WA WIZARA YA FEDHA KUIMARISHA UTENDAJI
Na. Peter Haule, WF, MorogoroWajumbe wa Kamati za Ukaguzi za Wizara ya Fedha wametakiwa kusimamia kikamilifu Mwongozo wa Udhibiti wa Ndani wa Wizara (Internal Control Framework) ili kuboresha ufanisi...
View ArticleWALIMU WA HESABU WANUFAIKA KATIKA MRADI WA MAFUNZO KAZINI
TAASISI za Vyuo Vikuu vya Elimu kutoka nchini Kenya,Zambia na Tanzania zimeshiriki semina iliyo andaliwa na mradi wa mafunzo kazini kwa walimu yenye lengo la kusaidia walimu wa sekondari wanao fundisha...
View ArticleMJUMBE KAMATI YA UTEKELEZAJI UWT MARIAM ULEGA ALIVYOSHIRIKI UFUNGUZI MAFUNZO...
Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji wa Baraza UWT,Mariam Ulega, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) katika ufunguzi wa mafunzo ya siku kumi ya Uongozi yaliyodhaminiwa na Chama Cha...
View ArticleWAZALISHAJI WA CHUMVI MTWARA WATAKIWA KUZALISHA CHUMVI KWA KUZINGATIA VIWANGO
WAZALISHAJI wa Chumvi mkoani Mtwara wametakiwa kuendelea kuzalisha na kufungasha chumvi iliyo bora kwa kuzingatia viwango, ubora na usalama ili kulinda afya ya mlaji pamoja na kupata masoko mengi ndani...
View ArticleSERIKALI YATOA TRILIONI 6.7 KUONGEZA UWEKEZAJI KATIKA TAFITI ZA MAGONJWA...
Mkurugenzi wa huduma za Tiba kutoka wizara ya Afya, Prof. Paschal Rugajo akipokea Tuzo ya shukrani kwa niaba ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kutoka kwa Kaimu Mkuu wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Afya,...
View ArticleMshauri wa Kodi Kizimbani kwa Tuhuma za Kuisababishia TRA Hasara
MSHAURI wa Kodi, Denis Tililo (29) amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala jijini Dar es salaam akikabiliwa na mashtaka nane likiwemo la utakatishaji na kuisababishia Mamlaka ya Mapato Tanzania...
View ArticleWateja wa betPawa wajishindia TSh53.8 Bilioni ndani ya siku 10
Umekuwa ushindi uliovunja rekodi kwa wateja wa betPawa nchini Tanzania, ambao walijishindia TSh 53.8 Bilioni ndani ya siku 10.Wateja 335,706 tofauti walisherehekea ushindi wakati wa mafanikio ya kuweza...
View ArticleRais Samia katika Mkutano wa Kimataifa wa 23 wa Baraza la Utalii Duniani...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza kwenye Mkutano wa Kimataifa wa 23 wa Baraza la Utalii Duniani (WTTC) unaofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kigali (Kigali...
View ArticleBANDARI QUEENS YAENDELEA KUTOA DOZI LIGI DARAJA LA PILI
Timu ya Netiboli ya Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania- TPA “ Bandari Queens “ imeendelea kutembeza vipigo kwa timu pinzani Katika Mashindano ya ligi daraja la pili Taifa yanayofanyika Mkoani...
View ArticleY9 Microfinance yaendelea kumwaga zawadi kwa washindi wake,zimo simu janja...
Na Mwandishi wetu.Taasisi ya kifedha ya Y9 Microfinance imemkabidhi Bi ummy Kuruthumu mkazi wa zanzibar zawadi yake ya simu janja baada ya kuibuka mshindi katika droo ya tatu ya kampeni ya pakua App...
View ArticleMKURUGENZI MKUU REA AWATAKA WAKANDARASI KUTEKELEZA MIRADI BILA KUICHAFUA...
Na Veronica Simba - REAMkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Mhandisi Hassan Saidy amewataka Wakandarasi wanaotekeleza miradi ya umeme vijijini, kuhakikisha wanafanya kazi zao kwa weledi...
View ArticleSerikali yaagiza kuanzishwa kwa Klabu za Kidijiti katika Shule na Vyuo
*Dkt.Jabir asema zama za sasa ni zama za taarifaNa Chalila Kibuda , Michuzi TVSERIKALI imetoa wito kwa wakuu wa shule za msingi na sekondari pamoja na vyuo wahamasishe kuanzisha klabu za kidijiti ili...
View Article