Coral Paints kuongeza nguvu upendezeshaji wa mji wa Dodoma
  Mtendaji Mkuu wa Insignia Limited ,Mike Fischer ( wa pili kulia) akijiandaa kuzindua duka kubwa la kuuza rangi za Coral Paints mkoani Dodoma . Wa kwanza kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Mauzo na...
View ArticleUKICHEZA SLOTI YA GOD OF COINS UMECHAGUA USHINDI TU
MERIDIANBET WAKISHIRIKIANA NA EXPANSE STUDIO WANAFANYA WEPESI KATIKA MWEZI HUU WENYE mambo mengi wakikuletea Sloti mpya ya God of Coins unaokufanya Zaidi ya mara 1000 ya dau lako kirahisi kabisa,...
View ArticleDC TANGA AZINDUA ZOEZI LA UCHANGIAJI DAMU HOSPITALI YA RUFAA YA BOMBO,...
MKUU wa wilaya ya Tanga James Kaji akizungumza wakati wa uzinduzi huo kulia ni Kaimu Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga-Bombo na kulia ni Matroni wa Hospitali hiyo Beatrice...
View ArticleWADAU WA ELIMU YA UALIMU WAJADILI MAFANIKIO YA MRADI WA TESP NCHINI
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TVKUPITIA Mradi wa Kuimarisha Mafunzo ya Ualimu kwenye Vyuo vya Ualimu vinavyomilikiwa na Serikali (TESP) ambao unafadhiriwa na Serikali ya Canada mpaka sasa umeshafanyika...
View ArticleMSD KANDA YA IRINGA YAKABIDHI VIFAA TIBA VYENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI...
 NA MWANDISHI WETUBOHARI ya Dawa (MSD) Kanda ya Iringa imekabidhi vifaa tiba katika kituo cha afya cha Kifanya Halmashauri ya Mji wa Njombe mkoani humo vyenye thamani ya zaidi ya sh. milioni 200.Kituo...
View ArticleWateja watano washinda fedha taslimu kupitia droo ya Kopa Tukubusti ya Benki...
  Jumla ya wateja watano wa benki ya Letshego Faidika wameshinda zawadi za fedha taslimu kupitia droo ya kampeni ya mpya ya Kopa Tukubusti.Wateja hao ni Lucas Skale wa Kaliua aliyeshinda sh...
View ArticleWaziri Mkuu Kassim Majaliwa atembelea banda la CATC
 Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa amezindua sherehe za miaka 20 Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania(TCAA) na kupata fursa ya kutembelea banda la Maonyesho la...
View ArticleNAIBU KATIBU MKUU POSSI AISHUKURU ICAO KWA KUKAMILISHA MRADI WA UIMARISHAJI...
 Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Dkt. Ali Possi ameshukuru Shirika la Anga Duniani (ICAO) kwa kukamilisha mradi wa uimarishaji na udhibiti wa Usafiri wa Anga ambao uliofadhiliwa na Serikali ya...
View ArticleHALOTEL TANZANIA YAZINDUA KAMPENI YAKE MPYA,KUWAUNGANISHA WATANZANIA KUPATA...
·        Miaka 8 ya Halotel, Wateja zaidi ya 1000 kushinda zawadi KemKem Halotel Tanzania kampuni iliyoenea maeneo mengi nchini inayo furaha kuzindua kampeni yake Mpya ya kusherehekea miaka 8 tangu...
View ArticleTwiga kidedea tuzo ya juu ya kuchangia pato la Serikali
Waziri wa Madini wa Malawi, Mh.Monica Chang'anamuno (Kushoto) akikabidhi tuzo ya juu ya kuchangia pato la Serikali kwa Afisa Mawasiliano wa Twiga Minerals Corporation, Abella Mutiganzi (katikati) kwa...
View ArticleDIWANI BAKARI KIMWANGA AGAWA KOMPYUTA KILA TAWI AKITOA TAARIFA UTEKELEZAJI...
 Na Said Mwishehe, Michuzi TVDIWANI wa Kata ya Makurumla wilayani Ubungo mkoani Dar es Salaam Bakari Kimwanga amewasilisha taarifa ya utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi Mkuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
View ArticleCPC WAWEZESHA VIJANA 50 KUPATA MAFUNZO SHULE YA UONGOZI YA MWALIMU NYERERE...
Naibu Katibu Mkuu CCM bara Anamringi Macha akizungumza na washiriki wakati alipokua mgeni rasmi kwenye ufunguzi wa mafunzo ya siku kumi Uongozi hao yaliyodhaminiwa na Chama Cha Kikomunisti...
View ArticleCHEZA GEMU LA MATUNDA USHINDE KIRAHISI
 *Sloti ya Wild Hot 40UKIACHILIA mbali bonasi na promosheni za kila mara, Meridianbet kasino ya mtandaoni ni chimbo la ushindi mkubwa kwa majokeri haswa kama ukicheza sloti ya Wild Hot 40.Moja kati ya...
View ArticleWAKAZI WA KIJIJI CHA VIKONGE, TANGANYIKA WAANZA KUPATA MAJI YA BOMBA
Meneja wa Ruwasa wilaya ya Tanganyika Mhandisi Alkam Babuni kushoto,akiwaonyesha wajumbe wa chombo cha watumia maji ngazi ya jamii wa kijiji cha Vikonge mtambo unaotumika kutibu maji kabla ya kwenda...
View ArticleBenki ya NMB Yapata Faida Kabla ya Kodi ya TZS Bilioni 569 Robo ya Tatu ya...
 -Faida Baada ya Kodi ya TZS Bilioni 398, ikiwa in ukuaji wa asilimia 22% mwaka hadi mwaka -Jumla ya Mali zote zimefikia TZS Trilioni 11.5, ikiwa ni ukuaji wa asilimia 22% mwaka hadi mwakaBenki ya NMB...
View ArticleWANNE WAFANYIWA UPASUAJI WA KUPUNGUZA UZITO ULIOKITHIRI MNH-MLOGANZILA
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TVHOSPITALI ya Taifa Muhimbili Mloganzila imefanikiwa kufanya upasuaji wa kibingwa bobezi wa kupunguza uzito kwa wagonjwa wanne wenye uzito uliokithiri ambapo zoezi hilo ni...
View ArticleKITUO CHA MABASI CHA KISASA CHENYE THAMANI YA SH.13 BILIONI KUJENGWA GEITA
KUPITIA Mradi wa Uboreshaji wa Miji Tanzania (TACTS) unaofadhiliwa na Benki ya Dunia (WB) inatarajia kujenga kituo cha mabasi cha kisasa mjini Geita chenye thamani ya shilingi bilioni 13.Hayo...
View ArticleDED GEITA AMTAKA KOCHA WA GEITA GOLD KUELEZA KIINI CHA MATOKEO MABAYA
MKURUGENZI wa Halmashauri ya Mji wa Geita, Zahara Michuzi amemtaka kocha mkuu wa timu ya Geita Gold inayomilikiwa na halmashauri hiyo afike ofisini kwake mara moja kueleza kiini cha matokeo...
View ArticleGlobal Startup Awards Africa Announces 16 Category Winners Innovating for a...
Addis Ababa, Ethiopia - Monday, 31 October 2023 – The Global Startup Awards Africa (GSA) Africa, in collaboration with the Global Innovation Initiative Group (GIIG), the Ethiopian Ministry of Labour...
View ArticleSAYANSI, TEKNOLOJIA NA UBUNIFU NI NGUZO MUHIMU YA KILIMO
  31/10/2023 Nairobi SayansiImeelezwa kuwa changamoto zote zinazoikabili Sekta ya Kilimo naWakulima Duniani katika kuongeza uzalishaji zinahitaji matumizi yaSayansi, Teknolojia na Ubunifu ili kuongeza...
View Article