Airtel Tanzania yazindua na kushereheke wiki ya huduma kwa wateja leo
Wakurugenzi wote wa Airtel wakiongozwa na mkuu wao Sunil Colaso (kati) wakikata keki leo wakati wa uzinduzi wa wiki ya huduma kwa wateja ambapo inaadhimishwa duniani kote kuanzia tareh 6, Airtel...
View ArticleMh. Binilithi afanya ziara ya kukagua viwanda mbalimbali jijini Dar
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Mazingira Dkt. Eng. Binilith Satano Mahenge, akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Kiwanda cha Bin Fijaa Industry Bwana Ahmed Abdallah, jinsi wanavyo tumia...
View ArticleMbunge wa jimbo la Kigamboni Dr. Faustine Ndugulile Afungua kiota kipya Mji...
Mbunge we jimbo la Kigamboni Dr. Faustine Ndugulile akifunguaRasmi (Wa Pili Kulia)kiota kipya Mji Mwema Kigamboni kinachoitwa Fursat Dhahabiyya. Wadau mbalimbali wakijivinjari ndani ya kiota kipya...
View ArticleUNESCO YAAHIDI KUVIENDELEZA VYOMBO VYA HABARI JAMII KUKUZA DEMOKRASIA
Shirika la Kimataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) limeahidi kuendelea kuzisaidia redio jamii kwa lengo la kuhakikisha sauti za wanyonge zinapazwa na kusikika ili kukuza demokrasia...
View ArticleMbio za Uhuru Marathon zazinduliwa rasmi leo jijini Dar
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo,Prof. Elisante Ole Gabriel akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzunduzi wa Mbio za Uhuru Marathon,uliofanyika leo kwenye...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO MSIBA WA PROFESSA KIVASI
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisaini katika kitabu cha maombolezo ya msiba wa aliyekuwa Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Professa Rogath...
View ArticleTAMASHA KUBWA LA KARIBU MUSIC FESTIVAL KUFANYIKA BAGAMOYO
Meneja wa tamasha la Karibu Music Festival, Richard Lupia akizungumza katika mkutano na waandishi wa Habari Dar es Salaam hii leo juu ya maandalizi ya tamasha hilo. Meneja wa tamasha la Karibu Music...
View ArticleViongozi acheni kuuza utajiri na kununua umasikini - Mh. Lowassa
Waziri Mkuu wa Mstaafu na Mbunge wa Monduli,Mh. Edward Lowassa amewanyooshea vidole viongozi wa kimila wa kabila la wamasai (malaigwanani),viongozi wa vijiji na wale wa CCM wilayani humo, kuwa...
View ArticleSERIKALI YAONDOA ZUIO LA MIKUTANO YA VYAMA VYA SIASA KATIKA MIKOA YA LINDI NA...
Serikali imeondoa zuio la mikutano ya Vyama vya Siasa lililokuwa limetangazwa mwezi Mei mwaka juzi kuzuia mikutano hiyo kufanyika katika mikoa ya Lindi na Mtwara.Zuio hilo limeondolewa leo na Waziri wa...
View ArticleTUWAPELEKE WATOTO WETU KATIKA CHANJO YA SURUA NA RUBELLA OKTOBA 18-24
SURUA na rubella ni magonjwa hatari yanayoenezwa haraka kwa njia ya hewa, kutoka kwa mtu mwenye vimelea vya ugonjwa huo kwenda kwa mwingine.Wataalamu wa afya wanaeleza kuwa dalili za magonjwa haya...
View ArticleWateja wa Airtel na wasanii wakaribishwa kwenye uzinduzi wa Airtel Trace...
Kampuni ya simu za mkononi Airtel inawatangazia wateja wake, wasanii na wanamuziki kuwa yale mashindano yanayotoa fulsa kwa wenye vipaji ya Airtel Trace yanazinduliwa rasmi kesho katika viwanja vya...
View ArticleBALIMI EXTRA LAGER YATANGAZA RASMI UDHAMINI WA MASHINDANO YA MBIO ZA MITUMBWI...
Meneja wa Bia ya Balimi Extra Lager, Edith Bebwa akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa mashindano ya mbio za Mitumbwi Kanda ya Ziwa, zijulikanazo kama “Balimi Boat...
View ArticleTafrija ya Miaka 24 ya Jamhuri ya Muungano wa Ujerumani yafana
Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Ujerumani nchini Tanzania, Egon Kochanke (katikati) na mkewe Wendy Marshall Kochanke wakimkaribisha mfanyabiashara mashuhuli Sir Andy Chande katika tafrija ya...
View ArticleTMF yalipongeza Bunge Maalum la Katiba kwa kuingiza katika Katiba vipengele...
Rais wa Shirikisho la Muziki Tanzania (TMF), Addo Novembar (katikati) akizungumza na wanahabari (hawapo pichani) wakati akilipongeza Bunge Maalum la Katiba kwa kuingiza katika Katiba vipengele vitatu...
View ArticleWakala wa Ukaguzi wa Madini Tanzania (TMAA) imeiwezesha Serikali kukusanya...
Na Georgina Misama-MAELEZO Wakala wa Ukaguzi wa Madini Tanzania (TMAA) imeiwezesha Serikali kukusanya mrabaha wa jumla ya shilingi billioni 5.2 tangu kuanzishwa kwa wakala huo.Hayo yamesemwa na Kaimu...
View ArticleRais Kikwete afungua Mkutano wa viongozi wa dini jijini dar leo
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua Mkutano wa viongozi wa dini kubwa za Kikiristo na Kiislam nchini kwa lengo la kujenga na kuleta amani na maelewano nchini katika hoteli ya White Sands jijini Dar...
View ArticleRAIS KIKWETE ATEMBELEA DARAJA LA KIGAMBONI, MRADI WA NYUMBA ZA MAKAZI ZA NSSF...
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (kushoto) akizungumza na Uongozi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) wakati alipotembelea ujenzi wa Daraja la Kigamboni,jijini Dar es Salaam leo.Rais Dkt....
View ArticleMiss Tanzania 2014 kujulikana jumamosi hii mlimani city jijini dar
Mkurugenzi wa Kampuni ya Rino International Agency ambao ni waratibu wakuu wa Mashindano ya Miss Tanzania,Hashim Lundenga (kulia) akizungumza na vyombo vya habari jijini Dar es Salaam leo,juu ya...
View ArticleMahakama yatupilia mbali maombi wa Prashant Patel kuzuia kufanyika Mashindano...
Na Mwene Said,Globu ya JamiiMAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu,jijini Dar es Salaam, jana iliamuru mashindano ya urembo Tanzania yaliyopangwa kufanyika Oktoba 11, mwaka huu kuendelea baada ya kutupilia...
View Article