AIRTEL YAKABIDHI MILIONI 20 NZEGA KUKOPESHA WANANCHI
Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel kupitia mfuko wake maalum wa kusaidia jamii wa Airtel FURSA Tunakuwezesha leo imekabidhi hundi ya shilingi milioni 20 kwa Mbunge wa Nzega ikiwa ni harakari za...
View ArticleWAFANYAKAZI WA VODACOM TANZANIA WAADHIMISHA MWEZI WA SARATANI YA MATITI...
Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakipewa ushauri na Mtaalam wa magonjwa ya Saratani ya matiti wa hospitali ya AAR Dkt. Zacharia Kabona,(kulia) wakati wa zoezi la upimaji wa ugonjwa huo kwa wafanyakazi...
View ArticleKAMPUNI YA YARA TANZANIA YAZINDUA RASMI USAFIRISHAJI WA MBOLEA KWA NJIA YA TRENI
Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya YARA Tanzania Ltd, Alexandre Macedo, akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa Usafirishaji wa mbolea kwa njia ya Reli TRL, Uzinduzi huo umefanyika leo...
View ArticleWAZIRI MKUU MAJALIWA AHUTUBIA KATIKA KILELE CHA MAADHIMISHO YA MIAKA 55 YA UDSM
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongozana na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam, Profesa Rwekaza Mukandala (kulia kwake) kuelekea kwenye ukumbi wa Nkurumah baada ya kuwasili kwenye Chuo Kikuu...
View ArticleMTANGAZAJI PJ ABURUZWA MAHAKAMANI NA EFM REDIO
Mtangazaji maarufu aliyewahi kutangaza kituo cha redio cha clouds fm nakujiunga na efm redio na baadaye kurudi tena clouds fm amefunguliwa mashtaka katika mahakama ya kazi Jijini Dar es salaam na efm...
View ArticleTANZANIA YAPATA MKOPO WENYE MASHARTI NAFUU WA ZAIDI YA SHILINGI BILIONI 300...
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango (wa nne kutoka kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Mawaziri wenzake wa Fedha kutoka nchi 54 za Kiafrika, wanaohudhuria Mkutano wa 5 wa Ushirikiano wa...
View ArticleWAZIRI MAKAMBA ATAKA KUFANYIKA KWA TATHMINI YA ATHARI KWA MAZINGIRA YA MTO...
Viboko Katika Hifadhi ya Taifa ya Katavi wakiwa wanaathirika kutokana na upungufu wa maji katika Mto Katuma. Waziri Makamba ametangaza hatua za haraka na za muda mrefu za kurejesha mto huo katika hali...
View ArticleTANZANIA YAADHIMISHA SIKU YA MTOTO MWENYE KICHWA KIKUBWA NA MGONGO WAZI MOI...
Mmoja wa Watoto wa wenye Kichwa kikubwa akiwa amebebwa na mzazi wake wakati wa maadhimisho ya siku ya Mtoto mwenye Kichwa Kikubwa na Mgongo wazi, yaliyofanyika kwenye Hospitali ya Muhimbili kitengo cha...
View ArticleUWW yaondoa migogoro baina ya walimu na wazazi Mkoani Dodoma
Na Lilian Lundo - MAELEZO - DodomaUanzishwaji wa Umoja wa Walimu na Wazazi (UWW) kwa shule za Msingi za Serikali Mkoani Dodoma umefanikiwa kutatua migogoro baina ya walimu na wazazi iliyodumu kwa muda...
View ArticleAn Open Letter To Entrepreneurs Looking To Get High-Paying Clients In...
Tanzania oil and gas is lucrative and rewarding sector. And with many new oil and gas projects are coming online, many people with their own motivation and reasons look to break into oil and gas...
View ArticleYANGA YAICHAPA JKT RUVU BAO 4-0 BILA KOCHA WAKE MKUU
TIMU ya soka ya Yanga imefanikiwa kutoka na ushindi wa goli 4-0 dhidi ya JKT Ruvu na kufikisha jumla ya alama 24 na kuendelea kusalia katika nafasi ya pili ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara.Yanga...
View ArticlePROF. MBARAWA AZINDUA BODI YA WAKURUGENZI YA SHIRIKA LA POSTA
Na Daudi Manongi,MAELEZO Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa ameitaka Bodi teule ya Shirika la Posta kutumia fursa zilizopo ili kuongeza vyanzo vya mapato vya Shirika hilo....
View ArticleNI KINYUME CHA SHERIA KUMUWEKA MTU NDANI KWA ZAIDI YA MASAA 24
Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria, Mohamed Mchengerwa akifungua kongamano la siku mbili la kitaifa la msaada wa kisheria kutoka mikoa yote ya Tanzania bara na visiwani...
View Article