UJUMBE WA WAFANYABIASHARA KUTOKA ABU DHABI WATEMBELEA KITUO CHA UWEKEZAJI...
Meneja Uwekezaji Kimataifa wa Kituo cha Uwekezaji Nchini (TIC), Zacharia Kingu akifafanua jambo wakati akielezea fursa mbalimbali za uwekezaji zinazopatikana nchini kwa Ujumbe wa Wafanyabiashara kutoka...
View ArticleWAZIRI PROFESA MBARAWA AZINDUA BODI YA SHIRIKA LA POSTA TANZANIA JIJINI DAR...
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano,Profesa Makame Mbarawa (katikati), akikata utepe mkoba wa vitendea kazi kabla ya kumkabidhi Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Posta Tanzania, Dk. Haruni Kondo...
View ArticleHON. MWIJAGE LAUNCHES THE AFRICAN ECONOMIC OUTLOOK 2016
Minister for Industries, Trade and Investment, Hon. Charles Mwijage speaks during the Launch of The African Economic Outlook 2016 at Serena Hotel, Dar es Salaam. Director of International Labour...
View ArticleWAZIRI MBARAWA APOKEA RIPOTI YA AWALI YA UPIMAJI WA MIPAKA KATIKA KIWANJA CHA...
Mtaalam wa kurusha roboti ya ndege (Drone) kutoka Tume ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) (Watatu kushoto), Bw. Fredrick Mbuya akitoa ufafanuzi wa namna zoezi la kupiga picha katika Uwanja wa Ndege wa...
View ArticleUBALOZI WA UJERUMANI WACHANGIA TAMASHA LA BUSARA ZANZIBAR 2017.
Mwenyekiti wa Tamasha la Sauti za Busara Zanzibar Ndg Simai Mohammed Said akitiliana saini ya Makubaliano ya kusaidia Tamasha la Sauti za Busara Zanzibar na Balozi wa Ujerumani Tanzania Balozi Egon...
View ArticleMPIGIE KURA KARIM MICHUZI KWENYE SHINDANO LA AIRTEL VIDEO CHALLENGE
MPIGIE KURA KIJANA WETU KARIM MICHUZI ILI KUWEZESHA SHORT FILM YAKE YA "KA MBU" KUSHINDA SHINDANO LA AIRTEL VIDEO CHALLENGE.BONYEZA HAPA ILI UPIGE KURA...
View ArticleShule ya Msingi Nyarugusu yaanzisha Kamati ya kudhibiti utoro
Mmoja wa wanafunzi wa Shule ya Msingi Nyarugusu, Juma Edward aliyesaidiwa na Shirika la Plan International kuacha kazi migodini na kurudi shule kuendelea na masomo akilishukuru shirika hilo kwa...
View ArticleWANAOMILIKI VIWANJA VYA JIJI KWA OFA WATAKIWA KUSALIMISHA NYARAKA HIZO NDANI...
Na Chalila Kibuda, Globu ya jamii SERIKALI imetoa miezi mitatu kwa watu wanaomiliki viwanja kwa ofa ya jiji ili kuweza kupata hati baada ya kubainika kuwepo kwa matapeli wa kugushi nyaraka za serikali...
View ArticleMABADILIKO YA SHERIA NI CHACHU YA KUPUNGUZA AJALI ZA BARABARANI
Na Zainab Nyamka, Globu ya JamiiSHERIA ya usalama Barabarani ya mwaka 1973 imekuwa na haina sheria madhubuti ya kukabiliana na ajali za barabarani huku waandishi wa habari wakitakiwa kuandika makala...
View ArticleJANE GOODALL INSTITUTE YAPONGEZWA KWA UTUNZAJI WA MAZINGIRA
Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Gombe Bw. Donatus Bayona (kulia) na Bi.Happy Kiyemi Mkuu wa Idara ya Utalii wakimuongoza Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. January Makamba...
View ArticleFirst Indian to chair the prestigious telecom industry Board
The GSMA today announced that it has elected Sunil Bharti Mittal, Founder and Chairman, Bharti Enterprises, as Chairman for the two-year period from January 2017 through December 2018. As GSMA...
View ArticleJUMIA FOOD TO GUARANTEE ON-TIME FOOD DELIVERY
Jumia Food is launching a game changing innovation to further boost their customer experience. They have launched an on-time delivery guarantee for all Jumia Food App users, a first of its kind in...
View ArticleHANS VAN DER PLUIJM AREJEA KUIFUNDISHA YANGA
Siku kadhaa baada ya Kocha wa Yanga, Hans Van Der Pluijm kuandikia uongozi wa klabu barua ya kujiuzulu kuendelea kuifundisha klabu hiyo, hatimaye uongozi wa Yanga umuandikia barua ya kumuomba...
View ArticleTTCL, Huawei wazinduwa huduma ya teknolojia ya 4.5G Tanzania
Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, anayesimamia Sekta ya Mawasiliano, Profesa Faustine Kamuzora (katikati) akibonyeza kitufe kuashiria uzinduzi rasmi wa matumizi ya teknolojia ya...
View ArticleKAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA ATEMBELEA MRADI WA UZALISHAJI KOKOTO WA SUMA -...
Kamishna Jenerali wa Magereza, CGP- John Casmir Minja akisalimiana na baadhi ya Maafisa Watendaji katika mradi wa Uzalishaji kokoto wa SUMA – JKT uliopo Pongwe Msungula, Mkoa wa Pwani leo Oktoba 28,...
View ArticleMwakilishi wa Tanzania katika shindano la Upishi duniani aelekea alabama leo
MWAKILISHI kutoka nchini Tanzania katika shindano la Upishi duniani yanayotarajiwa kuanza Novemba 8-15 ameondoka mchana huu kuelekea nchini Alabama kwa ajili ya kwenda kuhakikisha anarudi na...
View ArticleNEC yakabidhi Tathmini ya Uchaguzi Mkuu wa Waziri Mhagama
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji Mst. Damian Lubuva (kushoto) na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Walemavu Mhe. Jenista Mhagama, wakionesha...
View ArticleMARIE STOPES TANZANIA KUADHIMISHA MIAKA 40 KWA KUTOA HUDUMA ZA AFYA BURE
Mkurugenzi Mkazi wa Marie Stopes, Anil Tambay (katikati) akiongea na waandishi wa habari kuelezea juu ya maadhimisho ya miaka 40 kwa kutoa huduma bure za uzazi wa mpango na uchunguzi wa kansa ya mlango...
View Article