Quantcast
Channel: MTAA KWA MTAA BLOG
Browsing all 39150 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AWAMU YA TATU YA UMEME WA REA KUANZA MAPEMA MWEZI UJAO

Imeelezwa kuwa Mradi Kabambe wa Kusambaza Umeme Vijijini Awamu ya Tatu unaosimamiwa na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) utaanza rasmi kutekelezwa mwezi Februari mwaka huu. Hayo yameelezwa na Waziri wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAIBU WAZIRI MASAUNI AZINDUA UJENZI WA OFISI ZA POLISI KATIKA KIJIJI CHA...

Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (wapili kulia), akisalimiana na wananchi wa Kijiji cha Utengule, alipowasili kuzindua ujenzi wa jengo litakalotumika kwa ajili...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MSIMU WA PILI WA MRADI WA KUWAWEZESHA WANAWAKE KIUCHUMI KUPITIA TAASISI YA...

Mradi wa Kuwawezesha wanawake Kiuchumi Kupitia Tasnia ya urembo ujulikanao kama Manjano Dream-Makers ulioasisiwa na Taasisi ya Manjano Foundation utaendesha mafunzo ya ujasiriamali kwa wanawake wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JE UNAMJUA KINYONGA?

Ukibahatika kukutana na mnyama ambaye anaweza kubadili rangi na ama kuona taswira mbili kwa wakati mmoja hata ziwe pande tofauti  jitahidi kujifunza sana maana hiyo ni kama bahati ya mtende kuota...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAIBU WAZIRI MASAUNI AZINDUA UJENZI WA OFISI ZA POLISI KATIKA KIJIJI CHA...

 Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (wapili kulia), akisalimiana na wananchi wa Kijiji cha Utengule, alipowasili kuzindua ujenzi wa jengo litakalotumika kwa ajili...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAKINAMAMA WA KIKUNDI CHA 2SEEDS WAJIKWAMUA KIMAENDELEO CHINI YA VODACOM...

 Wakinamama wa kikundi cha 2Seeds, wa  kijiji cha  Tabora Wilaya ya Korogwe Tanga, wakishirikiana na Meneja Ruzuku na Mawasiliano wa  Vodacom  Tanzania Foundation, Sandra Oswald (wapili kulia) kumenya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SILAHA HARAMU 5,608 ZAPIGWA KIBERITI MKOANI KIGOMA

Silaha haramu zikiwaka moto wakati wa zoezi la kuteketeza Silaha haramu lililofanyika mkoani kigoma ambapo jumla ya Silaha haramu 5,608 zimeteketezwa na Jeshi la Polisi ikiwa ni juhudi za Serikali...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BALOZI MGAZA APIGIA CHAPUO ‘HAPA KAZI TU’ SAUDI ARABIA

Na Mwandishi Maalum, Saudi ArabiaWATANZANIA waishio nchini Saudi Arabia, wametakiwa kufanya juhudi za kuitangaza nchi yao pamoja na kuangalia namna ya kutekeleza kiu ya nchi ya viwanda kama...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DK.JOHN POMBE MAGUFULI KUZINDUA MRADI WA UDART KESHO JIJINI DAR ES SALAAM.

Na Chalila Kibuda, Globu ya JamiiRais Dk. John Pombe Magufuli anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa Mradi wa Mabasi yaendayo haraka (UDART) katika kituo cha mabasi Gerezani –Kariakoo jijini...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Serikali kuanzisha Dawati la Ulinzi la na Usalama katika shule zote nchini

 Mwenyekiti wa Baraza la Watoto la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ameir Haji Khamis akiongea na wajumbe wa baraza hilo katika kikao cha kamati kuu cha tatu cha Baraza la watoto la taifa leo Mjini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI NCHEMBA AONGOZA ZOEZI LA UTEKETEZAJI SILAHA HARAMU 5,608 MKOANI KIGOMA

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe.Mwigulu Nchemba akikagua silaha haramu zilizoandaliwa kwa ajili ya kuteketezwa wakati wa zoezi la uteketezaji wa Silaha hizo lililofanyika mkoani Kigoma ambapo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAJALIWA AKUTANA NA WAJUMBE WA BARAZA LA TAIFA LA UWEZESHAJI WANANCHI KIUCHUMI

  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akizungumza na Wajumbe wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi, kwenye makazi yake Oysterbay jijini Dar es salaam Januari 24, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZOEZI LA UPIGAJI KURA LAFUNGULIWA RASMI KWA AJILI YA KUMPIGIA KURA MREMBO

Kama inavyojulikana  kuwa Mrembo wa Miss Universe Tanzania 2016 Jihan Dimack  aliyetwaa taji la Miss Universe Tanzania mapema mwezi wa kumi na moja mwaka 2016 aliondoka nchini tangu tarehe 11 Januari...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

AZAM KUINGIA KAMBINI KESHO KUMWINDA SIMBA JUMAMOSI

Kocha wa Muda wa Azam Fc Iddy ChecheNa Zainab  Nyamka, Globu ya Jamii.Kikosi cha Azam kinatarajiwa kuingia kambini kesho kwa ajili ya kujiandaa na mchezo wao wa ligi kuu ya Vodacom dhidi ya Simba...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA MKURUGENZI WA UNEP

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa UNEP Bw. Erik Solheim ambaye yupo nchini kwa ziara ya siku 2.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TFF YAUFUNGIA UWANJA WA JAMHURI MOROGORO, YAWATAKA CCM KUUKARABATI

Ofisa Habari wa TFF Alfred Lucas Na Zainab Nyamka, Globu ya JamiiSHIRIKISHO la mpira wa miguu Tanzania (TFF) limeufungia uwanja wa Jamhuri mkoani Morogoro kuchezwa mechi za ligi kuu na daraja la kwanza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

YANGA WAIANGUKIA SERIKALI WAOMBA KUUTUMIA UWANJA WA TAIFA

Kaimu Katibu Mkuu wa Yanga Baraka DeusdeditNa Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.Uongozi wa klabu ya Yanga  imeandika barua Wizara ya Habari Sanaa na Utamaduni na Michezo kuomba iruhusiwe kuanzia wikiendi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kilimanjaro Premium Lager yawataka washiriki kujisajili mapema Marathon

Meneja wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, Pamela Kikuli ambaye bia yake ndio mdhamini mkuu wa Kilimanjaro Marathon amewataka washiriki wa mbio hizokujisajili mapema ili kuepuka na msongamano dakika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TFF YAMUONYA MWAMUZI BORA 2015/16 NGOLE MWANGOLE, YAIPIGA FAINI YANGA

LIGI KUUTIMU ya Yanga imepigwa faini ya jumla ya Sh. 1,000,000 (milioni moja) kwa makosa mawili ikiwemo na timu yao kutoingia vyumba vya kubadilishia nguo pamoja na kutumia mlango usio rasmi wakati wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SUMATRA WAFANYA MABADILIKO YA NJIA ZA DALADALA KUTOKANA NA UZINDUZI WA MABASI...

View Article
Browsing all 39150 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>