Tigo Yaibua Mamilionea Saba Zaidi Katika Promosheni Murwa ya Tigo Pesa
Mojawapo ya washindi 35 wa zawadi za kila siku za shilingi milioni moja na shilingi laki tano katika promosheni inayoendelea ya 'Tumia Tigo Pesa na Ushinde', Prochess Mroso (kulia) mkaazi wa Kimara...
View ArticleVIDEO :RC RUVUMA ASEMA WAANDISHI WA HABARI KATIKA MKOA WA RUVUMA SIO MAADUI
Na Ditha NyoniMkuu wa mkoa wa Ruvuma, Christina Mndeme amewataka wakuuu wa idara na taasisi mbalimbali mkoani hapo kutowaona waandishi wa habari kama maadui kwao badala yake wawape habari kwa ajili ya...
View ArticleRC INJINIA NDIKILO ATAKA KILUVYA UNITED WAIFUNGE RUVU SHOOTING JUMAMOSI
MKUU wa Mkoa wa Pwani Inginia Everist Ndikilo leo ametoa hamasa kwa kuichangia timu ya Kiluvya United kiasi cha Sh. Mil.2.2 ikiwa kwa ajili ya kuweka kambi kuelekea mechi yao na Ruvu Shooting...
View ArticleBENKI YA CRDB YAANZA MCHAKATO WA KUPATA MRITHI WA DKT. KIMEI
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dkt. Charles Kimei (katikati) akizungumza na waandishi wa Habari ofisini kwake jijini Dar es salaam leo, kuhusu Benki hiyo kuanza mchakato wa kumtafuta mrithi wa...
View ArticleHATUNA TATIZO LA DAWA NCHI NZIMA-DKT. NDUGULILE
Na Chalila Kibuda,Globu ya jamiiSerikali imesema kuwa hakuna tatizo la dawa katika sehemu kutoa huduma za afya katika Hospitali, Vituo vya Afya , Dispensari pamoja na Zahanati.Hayo ameyasema Naibu...
View ArticleUJENZI WA CHUO CHA VETA MKOA WA SIMIYU KUANZA MWEZI MACHI 2018
Na Stella Kalinga, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa SimiyuWaziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa. Joyce Ndalichako amesema Serikali inatarajia kuanza ujenzi wa Chuo cha Mafunzo ya Ufundi Stadi(VETA) cha...
View ArticleUKAGUZI MACHIMBO YA BUHEMBA KUKAMILIKA KABLA JANUARI 10, 2018
Serikali imeagiza kufikia Januari 10, 2018 Ukaguzi wa Usalama kwenye eneo la Machimbo ya Dhahabu ya Buhemba, Wilayani Butiama Mkoani Mara uwe umekamilika ili shughuli za uchimbaji zilizokuwa...
View ArticleJESHI LA POLISI MKOANI NJOMBE LINAMSAKA ASKARI PC ZAKAYO DOTO KWA TUHUMA ZA...
Kamanda wa polisi Mkoa wa Njombe, Pudensiana Protasi akizungumza na waandishi wa habari Na Amiri Kilagalila, NjombeJeshi la polisi mkoani Njombe linamtafuta askari PC Zakayo Doto kwa kosa la kumuua...
View ArticleTAMASHA LA TUKUZA UTALII TANZANIA LAZINDULIWA JIJINI ARUSHA
Na.Vero Ignatus Arusha. Katibu mkuu baraza la Sanaa Tanzania amewataka wazazi na walezi wa hapa nchini kuwalea watoto na kuhakikisha kuwa wanaishi katika maadili ili kuzuia mmomonyoko wa...
View ArticleTOCHI ZA TRAFIKI ZIMESAIDIA KUDHIBITI MWENDO KASI BARABARANI, KUPUNGUZA...
Na Said Mwishehe, Blogu ya JamiiJESHI la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani limesema litaendelea kutumia tochi kwa ajili ya kudhibiti mwendokasi huku likihimiza watuamiaji wa barabara kuzingatia...
View ArticleNAIBU WAZIRI NISHATI SUBIRA MGALU AAGIZA REA KUMCHUKULIA HATUA MKANDARASI WA...
Na Zainab Nyamka,Globu ya Jamii.NAIBU Waziri wa Nishati Subira Mgalu ameagiza mkandarasi wa mradi wa umeme wa Vijijini REA awamu ya pili Kwa Mkoa wa Pwani ambayo ni kampuni ya MBH kuchukuliwa hatua...
View ArticleWAZAZI PELEKENI WATOTO SHULE-NAIBU WAZIRI ULEGA
Na Chalila Kibuda, Globu ya Jamii.Naibu Waziri wa Uvuvi na Mifugo, Abdallah Ulega amesema kuwa changamoto ya wataalam katika halmashauri ya Mkuranga itamalizwa pale wanamkuranga wakiamua kusomesha...
View ArticleMWILI WA MAREHEMU MAYAGE WAAGWA LEO NYUMBANI KWAKE MBWENI
Na Said Mwishehe, Blogu ya JamiiTASNIA ya habari imeombwa kuendeleza mapenzi baina yao kama walivyoonyesha katika ugonjwa wa Mayage S. Mayage aliyefariki juzi.Hayo yamesemwa leo mchana huu na Padre...
View ArticleRAIS MAGUFULI AWASILISHA FOMU ZAKE ZA TAMKO LA RASILIMALI NA MADENI KWA...
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili katika Jengo la Sukari House lenye Ofisi za Sekretarieti ya Maadili ya viongozi wa Umma kwa ajili ya kuwasilisha Fomu...
View ArticleWAZIRI MKUU AKUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO JIMBONI KWAKE WILAYANI RUANGWA,...
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Lindi Godfrey Zambi, alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Nachingwea, kwa ajili ya mapumziko ya mwisho wa mwaka ambapo aliamua kukagua...
View ArticleWashiriki shindano la Watanzania wenye umri mdogo na wenye ushawishi watajwa
Na Mwandishi WetuWashiriki wa shindano la Avance Media kwa Watanzania 50 wenye umri mdogo na wenye ushawishi kwa mwaka 2017 wametajwa. Watanzania hao 50 huchaguliwa kwa kupigiwa kura wakitokea katika...
View ArticleSERIKALI YASIKIA KILIO CHA WADAU WA SEKTA YA UWINDAJI WA KITALII NCHINI,...
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla akizungumza na wadau wa sekta ya uwindaji wa kitalii katika mkutano uliondaliwa na Wizara yake mjini Dodoma jana kwa ajili ya kujadili mikakati...
View ArticleWATANZANIA WANAOISHI SAUDI ARABIA WAKUTANA KWA MAJADILIANO
Na Mwandishi Maalum, Saudi ArabiaJumuiya ya Watanzania waishio Jeddah nchini Saudi Arabia ' Tanzania Welfare Society' hivi karibuni ilifanya Mkutano wa pamoja wa wanajumuiya Watanzania na Wanadiaspora....
View ArticleVIONGOZI 10 WA VYAMA VYA USHIRIKA WAKAMATWE NA KUHOJIWA
Na Chalila Kibuda, Globu ya jamiiMkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhandisi Evaristy Ndikilo ameagiza jeshi la polisi mkoa kuwakamata viongozi wa vikundi 10 vya usimamizi wa Korosho vilivyofanya udanganyifu kwa...
View Article