George Weah atanazwa kuwa rais mpya Liberia
Aliyekuwa nyota wa soka, George Weah, ametangazwa mshindi wa uchaguzi wa marudio wa urais uliofanyika nchini Liberia.Tume ya uchaguzi ya nchi hiyo ilisema kwamba Weah alipata asili mia 61.5 ya kura...
View ArticleSERIKALI YAPIGA MARUFUKU MATUMIZI YA ‘DOLA’ KUANZIA JANUARI 1 MWAKA 2018
* WATALII KURUHUSIWA KWA KIBALI MAALUMUWaziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari kuhusu Hali ya uchumi na utekelezaji wa Bajeti ya...
View ArticleVANESSA MDEE AACHIA ALBAMU YAKE YA KWANZA
Mwanamziki wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee akizungumza na waandishi wa habari kuhusu uzinduzi wa albamu yake ya kwanza inayokwenda kwa jina la Money Mondays itakayofanyika leo katika Hoteli ya Hyatt...
View ArticleBURIANI ALHAJ SHEIKH AHMED ISLAM
Na Ramadhani K. Dau, MalaysiaIlikuwa siku ya Jumamosi tarehe 23 Disemba 2017, majira ya saa 5 usiku kwa saa za Malaysia nilipopata ujumbe mfupi wa sms kutoka kwa Sheikh Issa Othman, maarufu Mufti wa...
View ArticleNAIBU WAZIRI SHOZA ATEMBELEA HIFADHI YA TAIFA YA ARUSHA
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza (wa pili kulia waliokaa nyuma) akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa Shule ya Tengeru English Medium katika eneo la...
View ArticleWAZIRI MAHIGA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA JAMHURI YA KOREA NCHINI
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga (Mb) akizungumza na Balozi wa Jamhuri ya Korea nchini, Mhe. Song Geum - Young alipomtembelea katika ofisi za...
View ArticleUHAMIAJI TANGA YAWAONYA VIONGOZI WA VITONGOJI NA VIJIJI VILIVYOPO MIPAKANI...
VIONGOZI wa Vitongoji na Vijiji vilivyopo kwenye mipaka mkoani Tanga wameonywa kuacha tabia ya kuuza ardhi kwa wageni wanaofika kwenye maeneo yao badala yake wahakikishe wanatoa taarifa wanapowaona...
View ArticleWAZIRI MAHIGA APOKEA NAKALA ZA HATI ZA UTAMBULISHO KUTOKA KWA BALOZI MTEULE...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga akipokea Nakala za Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Jamhuri ya Uturuki nchini, Mhe.Ali...
View ArticleWAZIRI MPINA APOKEA RIPOTI YA KAMATI NDOGO ALIYOIUNDA KWA SIRI KUTATHMINI...
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe Luhaga Mpina (kulia) akipokea ripoti ya Kamati Ndogo ya kutathmini utendaji wa sekta ya Uvuvi katika Ziwa Victoria kutoka kwa Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhandisi...
View ArticleMTU MMOJA ANUSURIKA KIFO BAADA YA KUPORWA BAJAJI NA WATU WALIOMKODISHA
Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani Jonathan Shanna akizungumza na waandishi wa habari Na Mwandishi Wetu, PwaniMTU mmoja nayesadikiwa kuwa ni jambazi amefariki dunia baada ya kupigwa na wananchi...
View ArticleULEGA AHIMIZA UJENZI WA SHULE KWA WANANCHI KIJITOLEA
Na Chalila Kibuda, Globu ya JamiiNaibu waziri wa Mifugo na Uvuvi Abdallah Ulega amewataka maafisa maendeleo kutembelea vijijini ili kuhamasisha maendeleo katika kaya za vijiji kutokana na baadhi vijiji...
View ArticleNAIBU WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII AFANYA ZIARA KATIKA HIFADHI YA SAADANI
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Japhet Hasunga (katikati) akioneshwa ramani ya Hifadhi ya Taifa ya Saadani na Mwakilishi wa Mkuu wa Hifadhi za Taifa, Vitalis Kuluka huku akishirikiana kuonesha...
View ArticleBALOZI SEIF AFUNGUA MKUTANO MKUU WA CCM MKOA WA MAGHARIBI
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Balozi Seif Ali Iddi akisalimiana na Viongozi wa CCM Mkoa Magharibi alipofika kuufungua Mkutano wao wa Uchaguzi uliofanyika katika Ukumbi wa...
View ArticleWAZIRI MKUU, KASSIM MAJALIWA AKAGUA UJENZI WA NYUMBA YA DAKTARI KITUO CHA...
Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa akiwa na mganga mkuu wa kituo cha afya Nkowe Dk. Paul Mbinga,wakati akikagua ujenzi wa nyumba ya daktari, Waziri Mkuu yupo Wilayani Ruangwa kwa ajili ya mapumziko ya mwisho...
View ArticleOFISI YA MAKAMU WA RAIS YAKANUSHA TANGAZO LINALOTANGAZA USHIRIKI WA MAKAMU WA...
Ofisi ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inakanusha tangazo linalosambaa katika Mitandao ya Kijamii linalomhusisha Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu...
View ArticleWAZIRI MKUU AMWAGIZA AFISA MADINI AITISHE KIKAO KESHO SAA 4 ASUBUHI
*Ni baada ya kupokea mabango ya wananchi wakidai kunyanyaswaWAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemuagiza Kaimu Afisa Madini Mkazi wa Kanda ya Kusini, Bw. Ogesa Charles Tale afike eneo la mgodi wa dhahabu wa...
View ArticleRAIS DKT. MAGUFULI AMESHIRIKI IBADA YA FAMILIA TAKATIFU KATIKA KANISA LA...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akishukuru mara baada ya kushiriki Sakramenti Takatifu katika Ibada ya Jumapili ya Familia Takatifu iliyofanyika katika Kanisa la...
View ArticleJKU YAIPIGA ZIMAMOTO BAO 1-0 UWANJA WA AMAAN ZANZIBAR
Mshambuliaji wa Timu ya Zimamoto, Hafidh Barik akipokea mpira huku beki wa Timu ya JKU, Ponsiana Malik akijiandaa kumzuiya wakati wa mchezo wao wa Kombe la Mapinduzi uliofanyika katika Uwanja wa Amaan...
View ArticleWATALII WA NJE NA NDANI WAENDELEA KUMIMINIKA HIFADHI YA TAIFA YA SERENGETI
Watalii wakiwasili uwanja mdogo wa ndege wa Seronera wilayani Serengeti mkoa wa Mara uliopo kwenye Hifadhi ya Taifa ya Serengeti(Senapa) kwaajili ya kutembelea vivutio vya kitalii wakati wa mapumziko...
View Article