Pesapal Yaja na suluhisho la kisasa kusimamia uendeshaji wa vituo vya mafuta
Mfanyakazi wa Kampuni ya Lake Oil akimhudumia mteja wakati wa uanzishwaji wa huduma mpya ya kusaidia kusimamia uendeshaji wa vituo vya mafuta na mauzo ya nishati nyingine unaotumia teknolojia za...
View ArticleKambi maalum ya matibabu na upimaji wa moyo yafanyika Zanzibar
Afisa Uuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Tumpale Kionjola akimpima shinikizo la damu mwilini (BP) mama Amina Marzuk aliyefika katika Hospitali ya Rufaa Mnazi Mmoja Zanzibar leo kwa...
View ArticleHAKUNA GARI BOVU LITAKALORUHUSIWA KUPITA MANYARA
Na John Walter-ManyaraMkuu wa Usalama Barabarani mkoa wa Manyara SSP Georgina Matagi amewataka madereva na wamiliki wa mabasi ya abiria yaendayo maeneo mbalimbali ya mkoa huo na nje pamoja na...
View ArticleCHUO CHA OLMOTONYI CHATAKIWA KUWA BUNIFU KATIKA KUTAFUTA VYANZO VYA MAPATO
Menejimenti ya Chuo cha Misitu Olmotonyi imetakiwa kubuni mikakati mipya ya kujiongezea mapato ili kuongeza udahili wa wanafunzi, motisha kwa wafanyakazi pamoja na kuzalisha mazao yatokanayo na misitu...
View ArticleKAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA KILIMO, MIFUGO NA MAJI YARIDHISHWA NA UTENDAJI...
Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso amewasilisha taarifa ya utekelezaji wa Bajeti ya Wizara ya Maji kwa kipindi cha nusu mwaka Julai-Desemba 2022, Utekelezaji wa Maazimio ya Kamati yatokanayo na taarifa ya...
View ArticleEMIRATES KUONGEZA SHUGHULI CHINA BARA NA KUREJESHA HUDUMA ZA ABIRIA KWENDA...
Dubai, UAE, Januari 24Emirates itaongeza shughuli zake nchini China ili kukabiliana na mahitaji makubwa ya usafiri, na hivyo kuongeza muunganisho za Guangzhou, Shanghai na Beijing wakati nchi...
View ArticleWANAHARAKATI WANAWAKE NCHINI WAKATAA NENO WANAUME KWENYE MPANGO KAZI WA...
Na Humphrey shao, Michuzi TvMtandao wa Wanawake katiba , Uchaguzi na Uongozi umeonesha kutokubaliana na pendekezo lankuingizwa Wanaume katika mpango kazi wa kutokomeza ukatili dhidi ya Wanawake,...
View ArticleSERIKALI YAAHIDI KUZIHAKIKI UPYA HOTELI ZA KITALII
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja ameiambia Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi Maliasili na Utalii kuwa Wizara ya Maliasili na Utalii itayafanyia kazi maelekezo yaliyotolewa na...
View ArticleAFISA WA KIDAKIO CHA PWANI ATAHADHARISHA WANANCHI WACHAFUZI WA MAZINGRA
Na Chalila Kibuda, Michuzi TV Bodi ya Bonde la Wami/Ruvu imesema kuwa Wakazi wa Mkoa wa Pwani na Dar es Salaam Milioni 11 wanahitaji maji kila siku hivyo kila mmoja ana nafasi ya kulinda vyanzo vya...
View ArticleMIGODI YA BARRICK YAWEKA REKODI YA UZALISHAJI NA KUPATA THAMANI YA MUDA MREFU
Rais na Afisa Mtendaji Mkuu wa Barrick, Mark Bristow akizungumza na Waandishi wa habari katika Mgodi wa Bulyanhulu. Kushoto ni Meneja wa Barrick Tanzania, Melkiory Ngido, kulia ni Naibu Waziri wa...
View ArticleWAZIRI MASAUNI AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA UTURUKI, LEO JANUARI 26, 2023
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kulia), akizungumza na Balozi wa Uturuki nchini Tanzania, Dkt. Mehmet Gulluoglu kuhusu masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Serikali ya...
View ArticleNACTVET YAUNGA MKONO KAMPENI YA UTUNZAJI WA MAZINGIR
NA - NACTVETBaraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) linaunga mkono juhudi zinazofanywa na Serikali ya Awamu ya Sita Chini ya Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika...
View ArticleSERIKALI: TaSUBa ITAENDELEA KUWA KITUO BORA CHA MAFUNZO YA SANAA NA UTAMADUNI
Na Mwandishi Wetu.KATIBU Mkuu Wizara ya Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt. Hassan Abbasi amesema Serikali itaendelea kuboresha mazingira ya Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa) ili kuifanya...
View ArticleWANANCHI WA MAFINGA WAMKATAA MKANDARASI KUSHINDWA KUKAMILIKA UJENZI WA BARABARA
Diwani wa Kata ya Boma Julius Kisoma akizungumza na waandishi wa habari eneo ambalo mkandarasi anasumba kukamilisha ujenzi.Baadhi ya wananchi wa wanaopita barabara hiyo wakiwa wanakumbana na adha ya...
View ArticleSERIKALI KUSHIRIKISHA JAMII FAIDA ZA BIMA YA AFYA KWA WOTE
Na.Elimu ya Afya kwa Umma,Idara ya Kinga ,Wizara ya Afya.Serikali kupitia Wizara ya Afya,Idara ya Kinga,Elimu ya Afya kwa Umma imesema itaendelea kushirikisha jamii faida za Bima ya Afya kwa Wote...
View ArticleZIARA YA MABALOZI UMOJA WA ULAYA MKOANI MWANZA
Na Mohamed SaifMabalozi wa Umoja wa Ulaya wameridhishwa na ubora na kasi ya ujenzi wa mradi wa shilingi bilioni 69 wa Dakio jipya la Maji katika eneo la Butimba Jijini Mwanza.Mabalozi wa Umoja huo...
View ArticleNMB YAANDIKA HISTORIA MPYA YA FAIDA
Benki ya NMB imeendelea kuboresha rekodi yake ya kutengeneza faida baada ya mwaka jana kuongeza kwa kiasi kikubwa pato hilo na kuweza kutenga TZS bilioni 6.2 kwa ajili ya uwekezaji katika miradi yenye...
View ArticleMKUTANO WA KILIMO-DAKAR SENEGAL
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza katika mkutano wa Masuala ya Kilimo na Chakula ambao uliwahusisha Wadau wa Makampuni mbalimbali pamoja na Wawekezaji, Dakar...
View ArticleBenki ya NBC Yahitimisha Kampeni ya ‘Vuna Zaidi na NBC Shambani’, Yakabidhi...
Mtwara: Januari 26, 2023: BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) imetoa zawadi mbalimbali zikiwemo baiskeli, pikipiki na trekta kwa washindi wa msimu wa pili wa kampeni ya benki hiyo ya ‘Vuna Zaidi na...
View Article