MAMENEJA WA TARURA WAHIMIZWA KUFANYA UKAGUZI WA MIUNDOMBINU
 Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA), Mhandisi Victor H. Seff amewahimiza Mameneja wa TARURA wa Mikoa na Wilaya kufanya ukaguzi wa miundombinu hasa katika madaraja ya...
View ArticleSC, WORLD VISION WATOA MAFUNZO KUIMARISHA MAADILI YA WALIMU, KUMLINDA MTOTO
Tume ya Utumishi wa Walimu (TSC) kwa kushirikiana na Taasisi isiyo ya Kiserikali ya World Vision Tanzania wameandaa mafunzo kwa Wadau mbalimbali wa Elimu kuhusu Wajibu wa Mwalimu katika masuala ya...
View ArticleMERIDIANBET WANATOA ODDS NONO ZA USHINDI LEO
 Wiki imeisha kwa michezo mbalimbali Carabao, FA, Coppa Italia lakini sasa wikiendi hii ligi zinaendelea kuanzia leo Ijumaa, EPL na Ligi nyingi zitatimua vumbi kwenye viwanja tofauti. Meridianbet...
View ArticlePROF. NDALICHAKO APONGEZA PSSSF KWA KUTEKELEZA AGIZO LA RAIS SAMIA
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Profesa Joyce Ndalichako, akizungumza na wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi PSSSF wakati akilizindua Baraza la Pili mjini...
View ArticleSAMSUNG ELECTRONICS EAST AFRICA YAZINDUA TOLEO JIPYA LA SIMU ZA GALAXY S23...
 Galaxy S23 Ultra 512 GB itauzwa kwa 3,830,000 TZS, Galaxy S23 Ultra 256 GB itauzwa kwa 3,510,000 TZS, Galaxy S23+ 256 GB itauzwa kwa 2,780,000 TZS na Galaxy S23 256 GB itauzwa kwa 2,440,000...
View ArticleMKOA WA NJOMBE WAOMBA SUA KUSAIDIA UTAFITI WA KILIMO CHA NGANO
 Na: Amina Hezron - NjombeKatibu Tawala wa Mkoa wa Njombe Bi. Judica Omary amekiomba Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) Kuendelea kushirikiana na Mkoa huo katika Mkatati wake wa kulifufua zao la...
View ArticleKMC FC KUWAFUATA RUVU SHOOTING NA WACHEZAJI 22 MKOANI MOROGORO
 Kikosi cha wachezaji 22 ,viongozi pamoja na benchi la ufundi kitaondoka Jijini Dar es Salaam leo kuelekea mkoani Morogoro kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu ya NBC soka Tanzania Bara dhidi ya Ruvu...
View ArticleBIDHAA ZA MIMEA DAWA ZINAHITAJI SERA NZURI ILI ZIRASIMISHWE NA KULETA TIJA
  Na: Amina Hezron - NjombeWatafiti wa Mradi wa GRILI uliohusisha uvumbuzi na utengenezaji wa mwongozo wa kibiashara wa bidhaa za mimea dawa wametakiwa kuwasilisha mapendekezo ya kisera ya utafiti huo...
View ArticleBAKWATA SINGIDA YAONYA WATU WALIOANZA KUMDHALILISHA MUFTI
 Sheikh wa Mkoa wa Singida Issa Nassoro Issa (kulia) akizungumza katika moja ya mikutano iliyofanyika mkoani hapa. Kushoto kwake ni Mufti wa Tanzania Sheikh Abubakar Zuberi Bin Ally.Na Dotto...
View ArticleREKEBISHENI UTOAJI WA HUDUMA ZENU NDANI YA SIKU SABA.
 Na Janeth RaphaelWaziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Dkt.Selemani Jafo, ametoa siku 7 kwa wamiliki wa kumbi za Starehe na Taasisi za dini kurekebisha utoaji wa huduma zao,...
View ArticleNMB yafadhili ziara ya mafunzo Machinga, Bodaboda Dar nchini Rwanda
 NA MWANDISHI WETUBENKI ya NMB imefadhili ziara ya siku nne ya mafunzo kwa Viongozi wa Vyama na Mashirikisho ya Wafanyabiashara Wadogo (Machinga) na Waendesha Bodaboda Mkoa wa Dar es Salaam,...
View ArticleUJENZI VYUO VYA VETA KILA WILAYA WACHOCHEA MAENDELEO YA KIUCHUMI
 Na Chalila Kibuda, Michuzi Tv Wananchi na wadau mbalimbali mkoani Tabora wameishukuru Serikali kwa ujenzi wa vyuo vya VETA vya Wilaya ambao umetoa fursa za Wilaya hizo kupaa kimaendeleo.Mamlaka ya...
View ArticleMVUA YA UPEPO YAHARIBU MIUNDO MBINU YA UMEME SHINYANGA, YAANGUSHA KANISA
 Kaimu Meneja TANESCO Mkoa wa Shinyanga Mhandisi Leo Mwakatobe akionesha miundombinu ya umeme iliyoharibika kufuatia mvua ya upepo kuangusha mti katika eneo la Mshikamano kata ya Ngokolo Manispaa ya...
View ArticleWaliopata Division I St Anne Marie Academy waula
Na Mwandishi Wetu WANAFUNZI wa shule ya St Anne Marie Academy waliofanya vizuri kwenye matokeo ya kidato cha nne wanaandaliwa ziara ya kutembelea mbuga za wanyama za Mikumi na Ngorongoro kama motisha...
View ArticleBenki ya CRDB yakabidhi kituo cha mawasiliano Ocean Road
  Benki ya CRDB imekabidhi kituo cha mawasiliano katika Taasisi ya Saratani ya Ocean Road ikiwa ni matokeo ya fedha zilizokusanywa katika mbio za CRDB Bank Marathon 2021. Kituo hicho cha kisasa na cha...
View ArticleKANISA MORAVIAN SINGIDA WAMUOMBEA RAIS NA CCM KUTIMIZA MIAKA 46
 Viongozi wa Kanisa la Moraviani Parishi ya Sabasaba mkoani Singida wakiwa nje ya kanisa baada ya kumaliza ibada ambayo walimuombea Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Rais Dkt. Samia Suluhu...
View ArticleTASAF IFUNDISHE STADI ZA KUKUZA KIPATO - RC SENDIGA
 Na. OMM Rukwa Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Queen Sendiga ameagiza wataalam wanaosimamia Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) katika ngazi ya halmashauri kuwafundisha wanufaika stadi za kazi zitakazosaidia...
View ArticleWAZIRI MASAUNI ALETA MATUMAINI UJENZI OFISI YA POLISI MANYARA ULIOKWAMA ZAIDI...
  Na John Walter-ManyaraWaziri wa Mambo ya ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amesema chini ya mipango iliyopo katika awamu ya sita watahakikisha jengo la ofisi ya makao makuu ya polisi mkoa wa...
View Article