MKOA WA RUVUMA KULIMA HEKTA ZAIDI YA 900 ZA MAZAO MBALIMBALI
MKOA wa Ruvuma umelenga kulima jumla ya hekta 930,082 za mazao ya chakula,biashara na mazao ya bustani katika msimu wa kilimo wa mwaka 2022/2023.Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas amesema...
View ArticleBENKI YA CRDB YAKABIDHI MADARASA MAWILI SHULE YA MSINGI CHUDA, JIJINI TANGA
Kaimu Mkurugenzi wa Jiji la Tanga, Hawa Msuya (wapili kushoto) kwa pamoja na Meneja wa Benki ya CRDB tawi la Tanga, January Kilambata (wapili kulia) wakibadilishana hati ya makabidhino ya madarasa...
View ArticleRUVUMA WAADHIMISHA SIKU YA KUZALIWA RAIS SAMIA KWA KUPANDA MITI
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas amewaongoza wananchi kuadhimisha siku ya kuzaliwa kwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kupanda miti katika shule za Msingi na sekondari Mashujaa Manispaa ya...
View ArticleJohari Rotana yapanda hadhi ya nyota tano nchini
Maliki Muunguja, MwananchiHoteli ya Johari Rotana Tanzania imepanda hadhi na sasa kuwa hoteli nyota tano baada ya kukidhi vigezo vinavyohitajika kimataifa.Rotana ni hoteli ya kisasa yenye kukidhi...
View ArticleWaziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera Bunge na Uratibu...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulika na Sera Bunge na Uratibu Mhe. George Simbachawene akizungumza na watendaji wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu...
View ArticleKATIBU MKUU CCM AANZA ZIARA MOROGORO, AGUSIA MIGOGORO YA WAKULIMA NA WAFUGAJI
Na Mwandishi Wetu, Michuzi TV-MorogoroKATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Daniel Chongolo ameanza ziara ya kikazi leo Januari 28 mkoani Morogoro huku akitumia nafasi hiyo kueleza sababu za kufanya...
View ArticleGGML: UWANJA MPYA WA GEITA GOLD FC KUKAMILIKA MEI 23
Na Mwandishi Wetu UWANJA wa Magogo unaojengwa na Halmashauri ya Mji wa Geita kwa kushirikiana na Kampuni ya Geita Gold Mine Limited , unatarajiwa kukamilika mwezi Mei mwaka huu.Hayo yamebainishwa hivi...
View ArticleRais Mhe. Samia Suluhu Hassan akutana na Kuzungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mafuta ya Taifa ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) ENOC LLC, Bw. Saif Al...
View ArticleTAKWIMU ZA UANDISHI, UTUNZAJI WA WOSIA NCHINI NI NDOGO - WAKILI WA SERIKALI
Na Bakari Madjeshi, Michuzi TV Imeelezwa kuwa takwimu za kuandika na kutunza wosia nchini ni ndogo licha ya kundi kubwa la Wazee kuwajibika zaidi katika uandishi na utunzaji wake.Kundi kubwa la Wazee...
View ArticleFEZA YAONGOZA MATOKEO KIDATO CHA NNE YAFAULISHA DIVISION ONE WANAFUNZI WOOTE
Baada ya kutangazwa kwa matokeo ya kidato cha nne na Baraza la mitihani la Tanzania (NECTA), Shule ya sekondari ya Feza Boys imefanikiwa kuongoza kwa ufaulu wa juu ambapo wanafunzi wote 69...
View ArticleTASAC:TUMEWEKA KIPAOMBELE KATIKA MICHEZO-KAIMU MKURUGENZI MKUU SIGALLA
Na Chalila Kibuda, Michuzi TVShirika la Uwakala wa Meli (TASAC) limesema kuwa michezo kwao ni sehemu ya kipaombele kutokana na kuweka mshikamano na ushirikiano wa kufanya kazi kwa timu wakiwa...
View ArticleNAIBU WAZIRI MASANJA AHAMASISHA WANANCHI KUPANDA MITI ILI KUTUNZA MAZINGIRA
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii ambaye pia ni Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mwanza, Mhe. Mary Masanja amewahimiza wananchi kuwa wahifadhi wa mazingira kwa kupanda miti ili kuepukana na mabadiliko...
View ArticleMWENYEKITI UWT TAIFA CHATANDA AWATAKA VIONGOZI WA UWT KUSIMAMIA VIZURI FEDHA...
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT) Taifa, Mary Chatanda amewataka viongozi wa Umoja wa Wanawake Tanzania kusimamia vizuri fedha za miradi ya maendeleo zilizotolewa kwenye mikoa...
View ArticleMaelfu ya wanafunzi kufaidika na miradi ya maendeleo Kagera
Na Mwandishi wetu, KageraZAIDI ya Shilingi Milioni 320 zinatarajiwa kutumika kwa ajili ya miradi mbalimbali ya maendeleo katika shule saba katoka katika halmashauri za mkoa wa Kagera.Miradi hii ni...
View ArticleDKT MABULA ATAKA MAFUNZO YA MAADILI KWA MADALALI
Na Munir Shemweta, WANMMWaziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula ameataka kutolewa mafunzo ya maadili kwa Mawakala wa Mali Zisizohamishika (MADALALI)Dkt Mabula amesema hayo...
View ArticleBenki ya CRDB yahitimisha mkakati wa miaka 5 kwa kishindo
Mara nyingi si rahisi kwa taasisi kufanya mabadiliko makubwa ya uongozi na kuendelea kupata mafanikio hasa pale kunapokua na kiongozi aliedumu kwa kipindi kirefu na kuacha alama kubwa. Lakini hali...
View ArticleArticle 0
Na Chalila Kibuda ,Michuzi TV .Kamati ya kuangalia hali ya uchumi kwenye vyombo vya habari imeanza kazi rasmi ambayo itadumu kwa muda wa miezi mitatu.Kamati ya kuchunguza hali ya uchumi ya vyombo vya...
View ArticleBenki ya Biashara ya DCB yaingia kwenye mizania ya kati na yajiimarisha kwa...
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya DCB , Bwana Isidori Msaki Jengo la Makao Makuu ya Benki ya DCB, Magomeni, jijini Dar es SalaamDAR ES SALAAM, Januari 31, 2023. Benki ya Biashara ya DCB imepata faida kwa...
View ArticleSUA YAJIVUNIA MATOKEO YA UTAFITI WA MRADI WA GRILI KATIKA KUBORESHA TIBA...
Na: Amina Hezron – Njombe.Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA)Upande wa Taaluma, Utafiti na Ushauri wa Kitaalamu Prof. Maulid WaladMwatawala amepongeza Watafiti wa Mradi wa...
View ArticleWAGANGA WAKUU HAMASISHENI MATONE YA VITAMINI A KWA WATOTO
Waganga Wakuu wa Halmashauri zote nchini wamehimizwa kuhamasisha utolewaji wa matone ya vitamin A kwa watoto wenye umri chini ya miaka mitano.Hatua hiyo itasaidia kuimarisha kinga ya mwili na...
View Article