RIPOTI YA UNHCR YAONESHA UWAPO WA WAKIMBIZI MARADUFU KATIKA HISTORIA YA...
Lipo eneo jingine linafikiriwa kufanywa kambi ya wakimbizi eneo la Karago, lakini eneo hili lina matatizo ya maji na haifikiriwi kwamba inaweza kubeba wakimbizi 50,000 wanaotarajiwa kuingia Tanzania...
View ArticleSAGCOT WASAINI MAKUBALIANO YA UTEKELEZAJI WA MRADI WA MAKAMPUNI ZILIZOOMBA...
MFUKO wa kichocheo wa SAGCOT wasaini makubaliano ya utekelezaji wa Mradi na kampuni zilizoomba ufadhali wa Fedha kwaajili ya uimarishaji wa Viwanda pamoja na ukuzaji wa Kilimo hapa nchini jijini Dar es...
View ArticleWAZIRI JUNIOR MGUU NJE NDANI TOTO AFRIKA.
Mshambuliaji wa timu ya Toto Africans, Waziri Junior.Na Zainab Nyamka,Globu ya Jamii.MSHAMBULIAJI Waziri Junior ameweka msimamo wake msimamo wake wa kusaka maisha mapya ya soka nje ya timu yake Toto...
View ArticleLUKUVI ATOA SIKU 10 KUSHUGHULIKIA SUALA LA MAKAZI MAGOMENI.
Jonas Kamaleki, MAELEZO.Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe William Lukuvi (Pichani)ametoa siku 10 kwa watendaji wa Wizara yake kumshauri ili aweze kutatua mgogoro wa makazi wa watu wa...
View ArticleSIKU SABA ZABAKIA ZA DIRISHA LA USAJILI.
Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.ZIKIWA zimesalia siku saba kwa timu zinazoshiriki ligi daraja la kwanza(FDL) pamoja na daraja la pili(SDL) kuweka wazi wachezaji wanaowaacha kuelekea msimu ujao wa...
View ArticleBODI YA TPA YAZINDULIWA LEO JIJINI DAR ES SALAAM NA ROF. MAKAME MBARAWA.
Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), Profesa Ignas Rubaratuka (kulia), akimkabidhi Mwenyekiti mpya wa Bodi ya Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), Profesa...
View ArticleRAIS MAGUFULI AKUTANA NA MAKAMU WA RAIS NA MCHUMI MMKUU WA BENKI YA DUNIA...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na aliyekuwa Makamu wa Rais na Mchumi Mkuu wa Benki ya Dunia Profesa Justin Yifu Lin aliyemtembelea Ikulu jijini Dar...
View ArticleJAJI MKUU WA TANZANIA, ZIARANI MAHAKAMA KANDA YA MOSHI, AZINDUA RASMI...
Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Mohamed Chande Othman akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa Mahakama ya Mwanzo Bomang’ombe iliyopo Wilayani Siha Manispaa ya Moshi. Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Mohamed...
View ArticleSERIKALI YA TANZANIA YAKABIDHI MABAKI YA BAWALA LA NDEGE LILILOKOTWA PEMBA...
Katibu Mkuu, Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Dkt leonard Chamuriho,(katikati) akizungumza na waandishi wa habari, wakati Tanzania ilipokuwa ikikabidhi bawa la ndege kwa serikali ya...
View ArticleSERIKALI YA TANZANIA YAKABIDHI MABAKI YA BAWA LA NDEGE LILILOOKOTWA PEMBA...
Mkurugenzi Mkuu mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania(TCAA) Hamza Johari (kulia ) akisaidiana na wafanyakazi wa DHL kuingiza mabaki ya bawa la ndege tayari kuelekea nchini Malaysia kwa uchunguzi zaidi...
View ArticleSHEREHE ZA FATAKI ZASABABISHA WATU 80 KUUAWA KWA SHAMBULIZI HUKO UFARANSA
Katika hali ya kile kinachoonekana kuwa ni shambulizi la Kigaidi, zaidi ya Watu 80 wameuawa kwa kugongwa na kukanyagwa na gari na wengine kupigwa risasi.Tukio hilo limetokea katika kitongoji cha...
View ArticleWATUMISHI WATATU WA JESHI LA POLISI NCHINI WASIMAMISHWA KAZI
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira amewasimamisha kazi watumishi watatu wa Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kufanya malipo hewa, yaani kulipa posho ya chakula...
View ArticleTFF YAHALALISHA UONGOZI WA STAND UNITED.
Afisa habari wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF ), Alfred Lucas akizungumza na waandishi wa ahabari jijini Dar es Salaam leo. Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu...
View ArticleWASIMAMIZI WA VITUO WAANDALIWA SEMINA ELEKEZI KWA AJILI YA KUIBUA VIPAJI
Na Zainab Nyamka, Globu ya JamiiiKATIKA kukuza soka la vijana na kuibua vipaji, Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel wameandaa semina elekezi kwa wasimamizi wa mikoa wa vituo vya kukuzia vijana na...
View ArticleWAZIRI MWIGULU NCHEMBA AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI MDOGO WA MAREKANI NCHINI...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu M.L Nchemba (wapili kushoto), Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Meja Jenerali Projest Rwegasira (watatu kulia), Mkurugenzi wa Idara ya Wakimbizi, Harrison Mseke...
View ArticleKAMANDA SIRO AAHIDI USALAMA KUBORESHWA ZAIDI, MAKOCHA WA YANGA NA MEDEAMA...
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Kamishna Simon Sirro akizungumza na mashabiki wa Timu ya Yanga kwenye Mchezo uliopita dhidi ya Tp Mazembe uliochezwa Juni 28 katika uwanja wa Taifa...
View ArticleMKUU WA MKOA WA MBEYA AKABIDHI POWER TILLER 102 ZILIZOTOLEWA NA MBUNGE WA...
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Amos Makalla amepokea Power Tiller 102 zenye Thamani ya Shilingi Milioni 510 kutoka kwa Mbunge wa Jimbo la Mbarali Mh. Haroun Mulla kwa ajili ya shughuli za Kilimo na Kijamii kwa...
View ArticleYALEE YALEE:DALADALA USO KWA USO NA BAJAJI JIJINI MBEYA...
Gari ya Mzunguko Daladala yagongana Uso kwa Uso Eneo la Mwaji Uyole Jijini Mbeya kutokana na Madereva wote kuzidiwa Maarifa kutokana na Mwanga Mkali walio washiana na kupelekea kupoteza Muelekeo kisha...
View Article